Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sioni sehem yakuvote wadau. Au ndio mda umeisha tayari??
Jamani leo siku ya mwisho!!!please vote
Nani nikeshe nae tukivote?
Mkuu haija ji register...unaez ji register kupitia fb account yako..au email au twitaaa..fanya hivyo haraka..uweze kupiga kura
Mbona sioni sehem yakuvote wadau. Au ndio mda umeisha tayari??
Mi navote tu kiroho mbaya
ahahaha!!bado bwana mpaka kesho!huenda mtandao umesumbua hapo kwako ,bado muda
Bado kweli asubuh hii nimevote imekubal jana mtandao naona ulizingua kwngu. Lets vote guys za mwisho mwishoo
diamond platnumz
page liked · 39 mins · edited
naomba niwashkuru wadau na mashabiki zangu wote kwa support kubwa mnayozidi kunipa... Niwashkuru wote mlokuwa mkihamasisha na kupiga kura katika tunzo za #mtvmama2015 hakika ni upendo mkubwa..kijana wenu now nimetua south africa tayari kwajili ya kujiandaa kwa show nk... Ila pia wakati nimetua nimekutana na habari nyingine nzuri...kuwa nimechaguliwa kwenye tunzo za marekani ziitwazo africanentertainmentawards kama msanii bora wa kiume africa na nyimbo bora ya africa#ntampatawapi hii ndio account yao africanentertainmentawards ntawajuza namna ya kupiga kura soon..
![]()
Nimeikuta kwa davido hii pembeni chibu uku patoranking #mtvawards #durban
Nimeikuta kwa davido hii pembeni chibu uku patoranking #mtvawards #durban