ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,244
- 1,741
Subiri hyo ccm ipigwe chini kama domo ajawa Mr. Nice
mwache tu!' ameshajiona kamaliza kila kitu, tutamzomea mpaka ajutreeee ...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri hyo ccm ipigwe chini kama domo ajawa Mr. Nice
kila mtu ana haki ya kuwa chama anachokipenda yeye!' huwezi ukamlazimisha mtu. lakini yeye alichokosea angetakiwa kunadi chama chake sio kuanza kuleta mambo ya ukabila!' na kama kupiga kazi angepga kazi aache kuongea shit.
Kwa hiyo Lowasa kwa vile anatoka kaskazin hawezi kuongoza nchi!', Nchi inafaa kuongozwa tu na wakwere!' au kabila la mama yake au?! kwa hiyo amewadharau na mashabiki zake wanaotoka ukanda wa kaskazini, umaarufu umevimbisha kichwa!' na domo lake kuuuubwa!'
nilikua namsapiti sana huyu domo kubwa!' search humu utaona post zangu!' nimempgia kura sana, tena nikiwa kwa office nilikua nawahimiza sana wafanyakazi wenzangu muda ambao hawana kazi kumpgia kura mana kuna free internet!' sasa sahivi wamebaki kunicheka, mtu niliekua nampgia kampeni kila siku kumbe ni cho.ko
Wewe jamaa sema kwamba unasababu zingine binafsi za kumchukia Diamond,maana kila tunavyokuelekeza unajifanya huelewi kichwa ngumu!!
Hiyo account inayoeneza hizo taarifa za Ukabila wala sio ya Diamond,ni account feki kutoka Facebook ya msengerema aliyeamua kujiita Diamond na akaandika huo ujinga nauzushi kama ulivyo,Diamond alishatolea ufafanuzi hilo swala na kwamba hajazungumza hivyo na hiyo account sio yake!!nashangaa unaendelea kukomalia hio habari
Mashabiki wa Naseeb tunaelewa hiyo ni account feki ya wabaya wake wameamua kumzushia na aliyeileta hiyo habari humu JF anajua kabisa kua hiyo sio account ya diamond ila ameamua kufanya hivyo ili kujenga chuki kwa mashabiki wa Diamond.
Tunaolewa huu mchezo tayari tunajua nini kinaendelea!wewe endelea kumtukana tu kama vile una ushahidi.
sina chuki na huyo jamaa!' kama ni hivyo!' sawa ..........pa1 mkuu.
Acha kuchanganya siasa na burudani... watu wanafanya biashara na hawawezi kuacha pesa eti kwavile tu wewe hu-support anachokipigia kampeni!Guys, go outta there and find the real enemy anauesababisha CCM iendelee kuwa madarakani... hata ungekuwa ndo wewe ungefanya kama alivyofanya Diamond... don't take it personal... it's all about business! Na ikiwa kweli wewe ni shabiki wake unachotakiwa kufanya ni kuipotezea tu page yake kwa muda badala ya kuhangaika kumwaga mikashifa kila wakati coz' haitakusaidia na mambo ya siasa usije kushangaa siku mzazi wako na yeye anaanza kuishabikia CCM... sasa sijui utaanza kumtusi hivyo hivyo!!!
But all in all, hivi nyie wenzangu ni kwa wanasiasa gani hapa wa kuwafanya mtoke mapovu kweli kweli na kuanza kutukana walio na itikadi tofauti na nyinyi? Nani? Lowassa? Mbowe? Maalim Seif? Ni nani hasa ambae kweli hadi mnaamua kuanza kuwatusi wenzenu kwa kuwaona hawana akili na ndio tatizo? Hivi kweli wewe binafsi ulitarajia mtu kama Dr. Slaa angeisusa CHADEMA? Ni nani kati yako na Slaa anayeujua vizuri upinzani? What about Lipumba? Si mnasema wamenunuliwa? Sasa ikiwa wale ambao walikuwa ndani kabisa wanaweza kusaliti mabadiliko hiv kweli mnawatendea haki watu kama akina Diamond?
ENZO,kila mtu ana haki ya kuwa chama anachokipenda yeye!' huwezi ukamlazimisha mtu. lakini yeye alichokosea angetakiwa kunadi chama chake sio kuanza kuleta mambo ya ukabila!' na kama kupiga kazi angepga kazi aache kuongea shit.
Kwa hiyo Lowasa kwa vile anatoka kaskazin hawezi kuongoza nchi!', Nchi inafaa kuongozwa tu na wakwere!' au kabila la mama yake au?! kwa hiyo amewadharau na mashabiki zake wanaotoka ukanda wa kaskazini, umaarufu umevimbisha kichwa!' na domo lake kuuuubwa!'
nilikua namsapiti sana huyu domo kubwa!' search humu utaona post zangu!' nimempgia kura sana, tena nikiwa kwa office nilikua nawahimiza sana wafanyakazi wenzangu muda ambao hawana kazi kumpgia kura mana kuna free internet!' sasa sahivi wamebaki kunicheka, mtu niliekua nampgia kampeni kila siku kumbe ni cho.ko
You're so good, siasa zetu sie ni 25/10 lakini hizi za kujifanya sisi ndo akina Nape, akina Mnyika tuwaachie wenyewe!Platnum fanssssss tuendelee kuvote daily tena kama hatunavakili nzuriiiiii mzurimie binti kiziwi kimnana
You're so good, siasa zetu sie ni 25/10 lakini hizi za kujifanya sisi ndo akina Nape, akina Mnyika tuwaachie wenyewe!
Lv U baby.kabisaaaaa!
Platnum fanssssss tuendelee kuvote daily tena kama hatuna akili nzuriiiiii mzurimie binti kiziwi kimnana
Hata mie nimeona yaani haifunguki kabisaaakakumbushia kupigiwa kura, nimeingia tena hukooo ni balaaaa website imekomazwa trafiki imeimaliza ipo sloooooo utazani haifanyi kazi. Mungu amsimamie ashinde
Platnum fanssssss tuendelee kuvote daily tena kama hatuna akili nzuriiiiii mzurimie binti kiziwi kimnana