Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

http://base.mtvema.com/vote

Wananchi wenzangu tusisajau kunonyeza hapo link hiyo na kumwaga votes hadi vidole vipinde...atiiiii

Tuitangaze nchi yetu wapendwa kwenye kipengele hicho kimoja tulichaguliwa kuwania

Ni wetu Mr Diamond Platnumz

Utaona jina, picha na vote chini ya picha bonyeza, ukiletewa kapop up bonyeza X kwa kulia juu piga tena kura.. rudia...
 
Kesho ndio mwisho wa kupiga zile kura za Aftimma awards

Na Diamond atatumbuiza huko

Tujivunie nchi yetu kupaishwa huko ng'ambo

Ingia link hii chini

Nominees 2015 |


Vipengele vyenye jina lake vipo 7

Tafadhali naomba ujitahidi kulitafuta jina lake ili usimpite

Ni mie mdau

Nominees 2015 |
 
Mzurimie unajitihada za kutosha ku-lifanikisha lakumpigia kura kijana,na zawadi yako
 
Happy birthday DIAMOND PLATNUMZZZZ!Mungu akuweke zaidi na zaidi
 
Heri ya siku ya kuzaliwa Baba Tiffah.

Pichani Chibu usiku wa kuamkia leo baada ya midi naiti.

1443772136270.jpg
 
Huyu jamaa sio mtu mzuri kabisaaaaaa yani anawanyima haters wake pumzi kila siku ni kuwapa vitu

Walianza na ameingia kwenye siasa wamu unfollow, akawaumbua wiki hiyohiyo akafikisha followers Milioni moja

Wakaja oooooh hutapata tuzo hata moja, watakupigia CCM lakini tokea aanze kampeni mpaka sasa kabeba tuzo SITA (Uganda 1, Nafca 2, na Afrimma 3)

Mpaka sasa kunawatu wanakosa usingizi kila siku kwa kukosa amani kabisa, kwa sababu tu wamejenga chuki na mtu ambae hafaiiiiii kila siku yeye.. Kama vipi torokeni mje team wasafiii, (maana wengine wanajisahaulisha kwa kushabikia siasa, kitu ambacho kitazikwa tar 25 hahahahaha je watafunga account zao baada ya hapo?? maana ni hatariiiii huyu jamaa amekamilisha nyimbo 12 zinazoweza kutoka muda wowote ule kama mnavyojuaga hakoseagi hata kidogo)

Huyu ndio King of Afropop diamond platnumz

#Afrimma2015 ushindi wa Best male East, Best dance in a video (nana) na tuzo kubwa zaidi ya Artist of the year umemfanya kuwa mwanamuziki aliyechukuwa tuzo nyingi zaidi leo tuzo tatu (3) huku wimbo wa alive alioshirikishwa na kundi la brackets umeshinda inspirational song of the year

Kama hujui hii ni mara ya tano kwa Diamond kupiga hat trick (kubeba tuzo tatu au zaidi kwa siku moja)
-2010 KTMA (3)
-2012 KTMA (3)
-2014 KTMA (7)
-2014 CHANNEL O (3)
-2015 AFRIMMA (3)

Na kwa mwaka huu leo ametimiza tuzo 12
(9 za kimataifa na 3 za Tanzania) Jumla ya tuzo alizonazo sasa ni 42
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom