Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Baba mmoja ila mama tofautii lakini queen na Ali kiba pia ni mabinamu na hii niliisikia katika mahojiano ya miaka ile ambayo queen na Ali walikuwa wakiiva sana...sasa napata kigugumizi kusema kuwa diamond na Ali ni ndugu
 
Labda queen na Ali ni mabinamu kwa mama yake queen so undugu wa dai na Ali haupo hapo
 
Inawezekana lakini sielewi kwa nini ukaribu wa queen na Ali umefifia
Watu wengi hawajui kwa kuwa wanafuata mkumbo kwa kuwa tu hawampendi DIAMOND ila ukweli ni kwamba Ali anajisikia sana na anadharau hata kwa watu wake wa karibu.
 
Duuuhhh kwa hiyo mbele ya media huwa anaigiza
 
Sasa mkuu unaweza kumpima mtu kwa jinsi anavyoongea kwenye tv,radio au magazeti ???? watu wakaribu yake ndo wanaosema hivyo na si mmoja wengi sana wanamjua tabia yake. Tofauti yake yeye na DIAMOND ni kwamba DIAMOND mtu wa kujisifu sana ndo wale haters wake wanachopatia sababu,lakini anaroho ya huruma na mtu wa kujali wengine wengi wa wanamchukia kwasababu keshawapita kimuziki.
 
Kuna watu vilaza kweli alikiba na diamond hawana beef ile ni kutokana na mashabiki tu na music ila ukichunguza kwa undani utajua mke ambae amezaa na ali kiba na halima kimwana ni mtu queen darling na kiba #no beef ni biashara tu ya mziki ile ila no beef
 
Sasa mkuu unaweza kumpima mtu kwa jinsi anavyoongea kwenye tv,radio au magazeti ???? watu wakaribu yake ndo wanaosema hivyo na si mmoja wengi sana wanamjua tabia yake. Tofauti yake yeye na DIAMOND ni kwamba DIAMOND mtu wa kujisifu sana ndo wale haters wake wanachopatia sababu,lakini anaroho ya huruma na mtu wa kujali wengine wengi wa wanamchukia kwasababu keshawapita kimuziki.

Hivi kutomkubali mtu nako ni kuwa hater?!
Kiswahili kigumu, lugha ya malkia nayo ndo vile ilishanipiga chenga
 
Darlin na Dai nasikia wamechangia baba but mama tofauti. Kinachonishangaza ni huyo baba Dai huwa anamlaumu tu diamond amemtelekeza mbona queen darlin huwa hamuongelei?
 
Back
Top Bottom