kimugina
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,143
- 577
safi sanaaaa
ndio maana namkubali huyu kijana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na esma mke wa petit?
Baba mmoja ila mama tofautii lakini queen na Ali kiba pia ni mabinamu na hii niliisikia katika mahojiano ya miaka ile ambayo queen na Ali walikuwa wakiiva sana...sasa napata kigugumizi kusema kuwa diamond na Ali ni ndugu
Queen wa kitambo sana. Tangu enzi zile za Vitu adimu ya Madmax
Alikuwaga memba wa Dar Skendo ya Dudubaya
Labda queen na Ali ni mabinamu kwa mama yake queen so undugu wa dai na Ali haupo hapo
Watu wengi hawajui kwa kuwa wanafuata mkumbo kwa kuwa tu hawampendi DIAMOND ila ukweli ni kwamba Ali anajisikia sana na anadharau hata kwa watu wake wa karibu.Inawezekana lakini sielewi kwa nini ukaribu wa queen na Ali umefifia
Duuuhhh kwa hiyo mbele ya media huwa anaigizaWatu wengi hawajui kwa kuwa wanafuata mkumbo kwa kuwa tu hawampendi DIAMOND ila ukweli ni kwamba Ali anajisikia sana na anadharau hata kwa watu wake wa karibu.
Sasa mkuu unaweza kumpima mtu kwa jinsi anavyoongea kwenye tv,radio au magazeti ???? watu wakaribu yake ndo wanaosema hivyo na si mmoja wengi sana wanamjua tabia yake. Tofauti yake yeye na DIAMOND ni kwamba DIAMOND mtu wa kujisifu sana ndo wale haters wake wanachopatia sababu,lakini anaroho ya huruma na mtu wa kujali wengine wengi wa wanamchukia kwasababu keshawapita kimuziki.Duuuhhh kwa hiyo mbele ya media huwa anaigiza
na halima kimwana?
Sasa mkuu unaweza kumpima mtu kwa jinsi anavyoongea kwenye tv,radio au magazeti ???? watu wakaribu yake ndo wanaosema hivyo na si mmoja wengi sana wanamjua tabia yake. Tofauti yake yeye na DIAMOND ni kwamba DIAMOND mtu wa kujisifu sana ndo wale haters wake wanachopatia sababu,lakini anaroho ya huruma na mtu wa kujali wengine wengi wa wanamchukia kwasababu keshawapita kimuziki.