Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashukuru mkuu kwa kutukumbusha"Humu ndani mnakumbuka kumpigia kura chibu d kwenye TUZO ZA KORA??? Unampigia kwa kutuma SMS hata zaidi ya mara moja, ⬇⬇⬇⬇⬇
Tuma neno "KORA 18" kwenda namba +248984000
#12022016
tusubirie mkuu...Nooma sana, naisubiri kwa hamu sana hii...!
mambo mremboJamani kwema huku ndani?
Mimi naona mbali sana hiyo ijumaa jamani,mazishi kamili ya lupelaNooma sana, naisubiri kwa hamu sana hii...!
Poa Hendisamu mzima wee?mambo mrembo
Mimi naona mbali sana hiyo ijumaa jamani,mazishi kamili ya lupela
ahahahah...Najisikia vibaya sana mnapoingiza upuuzi kwenye wimbo wa Dunia.. Hiyo lupela ndio nini mpaka wimbo wa dunia uizime, wimbo hata haujahit unazimwa vipi?
#MakeMeSing bonge moja la joint, kama naiona Afrika ilivyo himaya ya WCB
asanteh sana mkuu...I wishing Alhamisi njema.Mafwans wenzanguni.