Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #21
Wapatikane watu wenye maono wakae pale waifanyie transformation hiyo timuAzam fc, nia njema ilikuwepo iwe UDINI AU UFATHER yote ni sawa.
Lkn usimamizi wa eneo lile ni mbaya sana.
Namuomba BAKHRESSA ikiwezekana awarudishe watu wote walioanza na timu mwanzo ndiyo waliokuwa na malengo.
Mmojawapo anaitwa ' KING'
we umetoa hoja gani pumba zileSisi tunajadili hoja brother toa hoja punguza mihemko....
Idi Amin aliwai kusema Kama huna kitu Cha kuzungumza Ni Bora ku kaa kimya...
Some people a living only because to kill then is illigalwe umetoa hoja gani pumba zile
Usimba ndo tatizo kubwa.Viongozi wao..na usimba mwingiiii
Some people a living only because to kill then is illigal
Much respect kwakoMalkia njoo.
Hebu irudie kuiandika hii ,kama cjaelewa maana yako? Au kuna ujumbe ulitaka tuupate hapo?Niwasalimu wote..... Amani ya bwana iwe nanyi.....
Najua duniani na kwingineko kwingi ligi mbalimbali zimesimama kutokana na jinamizi la covid 19
Huwa natamani kuona timu yetu ya Taifa na klabu zetu za soka Tanzania zikifanya makubwa Africa. Na ndio maana nikaja na huu uzi "Diamond Platinum FC"
Ingetokea matajiri wawili au mmoja ili kufanya "Football revolution in Tanzania" zikatengenezwa timu nyingine mbili nzuri zitakazo endeshwa kisasa. Achana na Azam FC inasadikika pale kuna u father na udini
Kwanini tusiwe na timu ambazo zitaendeshwa kisasa timu ambazo hata refa akileta usimba na uyanga ukizifanyia figisu figisu zitaibuka na zitashinda uwanjani
Ziibuliwe timu ambazo kwa kupenda au kutokupenda watu watajikuta wanazipenda na kuzishabikia....Nimesikia sikia fununu diamond platinum anataka kuanzisha timu ya mpira
Ni kwanini soka la bongo limekua "Domant" kwanin kusifanyike transformation ya soka Tanzania. Ni nini kinacho tukwamisha? Ni jinamizi gani? Huwa najiuliza matumbo ya mama zetu na dada zetu yameacha kuzaa vipaji?
Yes....asili yetu huko aisee.Much respect kwako
KAKA
Ila ilo jina lako linanikumbusha Kijiji kimoja kipo mkoa wa tabora kinaitwa ulimakafu
Wakiwa na maana ulima viazi maana kafu kwa kinyamwezi Ni viazi vitamin...
Mm jirani ako urambo kule ndio chimbuko langu Ila sijakulia Kule.........Yes....asili yetu huko aisee.
Hujapata ujumbe wowote kaka....Hebu irudie kuiandika hii ,kama cjaelewa maana yako? Au kuna ujumbe ulitaka tuupate hapo?
Pouwaaa.....Mm jirani ako urambo kule ndio chimbuko langu Ila sijakulia Kule.........
Kwani wewe unavyofikiri yule Ni mwenzakoHivi kumbe domo ni tajiri?