Diamond Platinumz FC

Diamond Platinumz FC

Azam fc, nia njema ilikuwepo iwe UDINI AU UFATHER yote ni sawa.

Lkn usimamizi wa eneo lile ni mbaya sana.

Namuomba BAKHRESSA ikiwezekana awarudishe watu wote walioanza na timu mwanzo ndiyo waliokuwa na malengo.

Mmojawapo anaitwa ' KING'
Wapatikane watu wenye maono wakae pale waifanyie transformation hiyo timu
 
Niwasalimu wote..... Amani ya bwana iwe nanyi.....

Najua duniani na kwingineko kwingi ligi mbalimbali zimesimama kutokana na jinamizi la covid 19

Huwa natamani kuona timu yetu ya Taifa na klabu zetu za soka Tanzania zikifanya makubwa Africa. Na ndio maana nikaja na huu uzi "Diamond Platinum FC"

Ingetokea matajiri wawili au mmoja ili kufanya "Football revolution in Tanzania" zikatengenezwa timu nyingine mbili nzuri zitakazo endeshwa kisasa. Achana na Azam FC inasadikika pale kuna u father na udini

Kwanini tusiwe na timu ambazo zitaendeshwa kisasa timu ambazo hata refa akileta usimba na uyanga ukizifanyia figisu figisu zitaibuka na zitashinda uwanjani

Ziibuliwe timu ambazo kwa kupenda au kutokupenda watu watajikuta wanazipenda na kuzishabikia....Nimesikia sikia fununu diamond platinum anataka kuanzisha timu ya mpira

Ni kwanini soka la bongo limekua "Domant" kwanin kusifanyike transformation ya soka Tanzania. Ni nini kinacho tukwamisha? Ni jinamizi gani? Huwa najiuliza matumbo ya mama zetu na dada zetu yameacha kuzaa vipaji?
Hebu irudie kuiandika hii ,kama cjaelewa maana yako? Au kuna ujumbe ulitaka tuupate hapo?
 
Football itengenezwe kuanzia chini......sio rahisi kufanya muujiza na kugengeneza team nzuri kwa mwaka mmoja au miwili. Unless usajili wachezaji wengi kutoka nje.
 
Back
Top Bottom