Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Shida moja ya diamond amesahau kuwa kufika on top inaweza kuwa jitihada zake binafsi lakini kumaintain hiyo nafasi au talent inapaswa kuwa makini na tabia
Diamond ni moja ya msanii anaeonyesha dharau sana kwa wenzie,hivi karibuni familia yake iliingia kwenye skendo za kudhalilisha wanawake,yeye pamoja na mama yake
Kwa wenye team yake ilikua ni ushindi as waliona kama kick sijui ila kuna watu hawakua wanapendezwa sana na hizi ishu!
Ukija kuchanganya na siasa ndo kabisa unamaliza mambo,
Diamond kama msanii alipaswa awe makini sana na nini anaongea au kufanya kwenye media,lakini pia angeweza kuongea na yule mama yake ambae anaona dunia nzima yeye pekee ndo amezaa jembe,mama apunguze dharau na majigambo akiwa kwa media,this is not good as lazima utapata watakaotaka kukushusha kilazima
Kama anajihusisha kwenye siasa hilo haina tatizo bali tatizo linakuja pale anapotaka kuwabeza au kuwapiga madongo wale wa upinzani bila kujua fanbase yake kuna chadema na CCM pia!
Ubaya wa hawa wasanii wetu wakipata kidogo huwa wanaona the world revolves only around them na wanasahau kuporomosha huwa ni kazi ya wanadamu iwe kwa uchawi au majungu!
Abadilishe hapo tu kwenye tabia na matamshi yake,the rest will just go with the flow as talent anayo,he just needs to humble himself!
 
Hii inahusiana nini na thread hii, sometimes muwe mnaelewa unatuletea mapicha hayo ndo yatakayoenda kumpigia kura? Diamond anahusika nini na hizo picha? Aliewaita NYUMBU hakika hakukosea!
 
Ukisoma haya maelezo/malalamiko unaona kabisa kuna maelezo ya bw Lissu.
Mzee najua ukiazimia Jambo lako lazima liwe,uko juu mawinguni[emoji3575]
Aliwahi kufanikisha jambo gani?
 
Kwani wewe unayeipenda chadema hukubana choo?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tabu kweli kweli..

Kwa hiyo huyu Mungu mliemdaharau wakati maombi ya korona kumbe kwenye mambo yenu huwa anajibu?

Na kwanini basi hakufanya muujiza ili Lisu awe rais?
 
Uchawi tu kwakweli, kwanini kulazimishana kuamini unachoamini? Hizi siasa mavi mavi sijui zinatupeleka wapi!!!

Wamuache huyu dogo kwakweli, kwa namna anavyopambana hii tuzo anastahili kabisa.
Mkuu hivi umeyaelewa masharti na vigezo ili uweze kuipata hiyo tuzo? Usiwe busy kumtetea tu huyo kijana.
 
Wanaharakati waombe Diamond asipate hii tuzo.. akipata atawapostia Dole la kati mwaka mzima😆😆😆😆

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tabu kweli kweli..

Kwa hiyo huyu Mungu mliemdaharau wakati maombi ya korona kumbe kwenye mambo yenu huwa anajibu?

Na kwanini basi hakufanya muujiza ili Lisu awe rais?
Corona ni ishu ya kisayansi na yeye aliekuwa anaongoza haya maombi Fyekelea mbali
 
Akili hizo hawana mkuu!

Kwa akili zao hiki wanachofanya wanaona ndio njia ya kuing'oa ccm madarakani,

Ndio uwezo wao ulipoishia
 
Wewe mzee!

Diamond kawadharauje wenzie? Kuwambia wakazane waache uvivu, wawe wabunifu ili kufika alipo yeye ni dharau?


Kwa hiyo wakimchukia kama hivi hao wenzie ndio watafika alipo yeye na kuzidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…