Kwa hili chadema wameonyesha hawajui wanachokisimamia na kukipigania ni nini misingi yake (Democracy)
Kwenye principles za kimungu, Mungu anaweza kumuacha mtu mbaya wa eneo fulani aishi umri mrefu au azidi kufanya mambo yake mabaya kwakua kupitia ubaya huo kuna watu wengi wanafaidika. Either kwa kuajiriwa kwenye kampuni zake, anatoa huduma za kijamii kwenye eneo lake nk nk. Mungu atamuacha mtu huyo maana kupitia ubaya wake huo bado kuna watu wanaendesa maisha ambapo kama akimtoa wale watu watakosa msaada au ajira za kuendesha maisha yao.....Accept less evil for Greater good
Diamond ka-Accept less evil for greaater good, kuna muda sio kila kitu itabidi uongee lazima ubaki kimya kwa ajili ya mazuri mengi...Naamini mondi hajali kuhusu CCM wala hapendi kama kuna ubaya unafanyika. But yeye ni mfanyabiashara anahitaji faida kwa ajili ya mambo yake yaende wakumbuke Diamond anafamilia anabiashara na kaajili watu wengi anawalipa mishahara. Wengine kawaajili indirectly.
Sasa hawezi kuacha kufanya biashara ili alipe mishahara na kuendesha familia ajili ya hisia za kikundi fulani..Kumbuka nimesema kua wakati inabidi uwe Neutral usionyeshe rangi yako inabidi usome alama za nyakati.
Sasa hao wanaopinga Diamond kufanya biashara na ccm kisa wanauovu wanasahau hiyo kanuni ya Less evil,Greater Good!
Mwenzao kuna familia nyingi zinamtegemea yeye.
Unakuta mtu anayekuita boss ni house girl wako tu huna mawazo ya kulipa mishahara watu hafu unachukia mondi kufanya biashara na CCM wakati mwenzako kuna matumbo kibao yanamtegemea ni Upuuzi Pluss pluss[emoji34]