Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Ishu Iko Ivi watu ndo wanaokunyanyua uwe juu so ukijisahau hao hao ndio wakushashao.
If you to be above people be down wakutumie Kama daraja afu watakuonea huruma watakuoandisha kuwa umevusha wengi.
Ila wakikupandisha usijisahau watu watakushusha na kushuka ni fasta Sana ni ndani ya sekunde na huku ulitumia miaka 20 kupanda.
Like in trading bulls take step but bears run out of the window to ground floor.
 
acha kuhusisha chadema, hii movement haina uchama.

mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa, nimechangia kwenye patition ya kuwata BET wam-disqualify diamond kwenye tuzo.
Wasipofanya hivyo utafanyaje?
 
Niliwahi kusema na narudia tena kusema leo kuwa, "CHADEMA" ni kikundi cha "wahuni".
Sasa hivi hawa wahuni wameacha kufanya siasa zenye tija kwa Watanzania, wanafanya siasa za kuwachafua watu.
Diamond Platinumz akiwa kama Mtanzania huru ana haki na uhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote kile cha siasa.
Ni haki yake kikatiba kuwa Mwana-ccm na ni haki yake kui-support ccm apendavyo.
Sisi tunapaswa kumpima Diamond Platinumz kwa muziki wake na siyo vinginevyo.
I'll be so surprised if BET organizers will comply with these cyber bullies and ditch Diamond Platinumz.
These so called themselves, "Movement #Change Tanzania" are nothing but cyber bullies and political hooligans.
I believe BET is not a political organization. BET will discerningly and wisely rule out this matter and send a strong message to those cyber bullies who want to tarnish the Image of a talented African artist for their own political agenda.
#IstandwithDiamondPlatinumz
Binafsi wanapoteza credibility katika siasa zao, haiwezekani makamu Mwenyekiti wa Chama aliaminiwa na Chama chake kugombea urais unahangaika na mwanamziki sababu tu alikuwa upande flani kwenye kampeni,Dogo ana wafuasi wengi sana na mashabiki wengi sana kumharibia dogo mashabiki wake hawafurahii pia,so Chadema ni genge la wahuni !
 
Post zako nyingi umekua ukilalamika kuhusu chuki za watu dhidi ya diamond lakini kumbe umeweka matabaka kua chuki dhidi ya watu fulani ni halali, ila chuki za namna hiyo hiyo hazipaswi kuoneshwa kwa kundi fulani.
Mimi nmemchukia nani?
 
Kuna watu ni hopeless kabisa, nini wanapata kwa kumsagia kunguni huyo jamaa....watanzania tumezoea kuwa pamoja kwenye ishu zenye maslahi kwa nchi na watu wake, tukirudi huku ndani ndo tunacharuana wenyewe kwa wenyewe....
Wanaijeria wenyewe watashangaa umbumbumbu! wa wadanganyika na Katuni la jay z...na yale majimama yanayo sapoti ushoga.
 
Hizi ngonjera zenu za kutekana na kuuwana tumeshazichoka mnahatarisha usalama wa nchi halafu mnataka kuchekewa ...mnataka democracy lakini hamuihubiri...Naona sawa acha mpigwe.

Kwa sasa mmehamia kwa kijana mmoja mdogo anayejitafutia ridhiki kwa mikono yake! Kesho mtatafuta kasababu kengine?
Watu wa hiko chama chenu nawaonaga kama mmechanganyikiwa
Ni kwavile tu huna akili. Ungekuwa nazo ungejua kwamba inchi kwasasa haina umoja na kilicho poteza umoja ni wapumbavu kama wewe
 
Aombe radhi ya nini, acha akose hizo tuzo hakuna kunyenyekea hao Wanasiasa, wanatumia tu mgongo wa Diamond kujionesha kwamba wapo.

Wala Mondi asife moyo maana fitina zitakuwepo tu sikuzote.

Wanavyochachamaa na Diamond utasema yupo Msanii yeyote waliyewahi hata kumsupport akafika mbali wakajivunia......kazi rahisi kwao ni kusambaza chuki tu lakini kujenga hakuna.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Alfu diamond akikosa hizo tuzo utafikiri ccm ndio inang'oka madarakani

Hawa jamaa ni hopeless
 
Tatizo la makamanda uchwara ni umaskini..
Sadala hana shida wangempa pesa angewapigia Show moja matata tatizo lao hata ofisi tu makao makuu inawapa tabu mpka wakae chini ya muembe...
Wenzao ccm wametoa pesa yeye haangalii mtu usoni anaangalia pesa, ndio inamlisha mama yake na wanae..

Sasa makamanda walitaka wapigiwe Show bure 😀😀😀
Too low to be in Jf
 
Kazana usidhani wadada wenzio wanauza kama wewe hatununui sisi
Na vipi ile connection yako unakatika matako mabayaaa yana makovu 😀😀
Sijui ulikuwa unamdangia nani maskini

Kipindi hicho unajiita manengelo saivi eti umekuwa influencer 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Njoo tuuze wote shogangu...maana inalipa bala!..nikuifluence kwa kipi ..nimuinfluence nan .kwa kitu gani sasa ..!hahaha ..pole zako...we endelea kuhate kwa ngv zote mie walaaa! Nahesabu tu mapene huku!
 
Binafsi wanapoteza credibility katika siasa zao, haiwezekani makamu Mwenyekiti wa Chama aliaminiwa na Chama chake kugombea urais unahangaika na mwanamziki sababu tu alikuwa upande flani kwenye kampeni,Dogo ana wafuasi wengi sana na mashabiki wengi sana kumharibia dogo mashabiki wake hawafurahii pia,so Chadema ni genge la wahuni !
Hawafai kabisa hawa broiler..
 
Wewe mzee!

Diamond kawadharauje wenzie? Kuwambia wakazane waache uvivu, wawe wabunifu ili kufika alipo yeye ni dharau?


Kwa hiyo wakimchukia kama hivi hao wenzie ndio watafika alipo yeye na kuzidi?
Eti wewe mzee kha
Nitake radhi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aise mswahili siyo mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kunguni inasagwa hapo twitter kwahuyo bwana siyo ya mchezo
magunia kwa magunia
Total mass destruction siyo poa kabisa kama una moyo wa betri hiyo vita ni kali sana wallah
Diamond kapitia zaidi ya hayo! Tena na ma giant,

Sembuse hao wauza nyapu kina kigogo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Alfu diamond akikosa hizo tuzo utafikiri ccm ndio inang'oka madarakani

Hawa jamaa ni hopeless
Kuna mambo mengi ya msingi sana kuliko hilo.

Kuna watu wamekosa ajira its about more than 6 yrs now.

Kuna wazee wamestaafu from 3 up to 6 years bila mafao.

Kuna watumishi hawajapandishwa vyeo ni almost 6 years.

Wanachi wanahitaji BIMA za afya.

Kuna vijiji havina maji tangu uhuru.

Shule nyingi hazina vitendea kazi na watumishi.

Hospitali na zahanati hazina dawa wala watumishi.

Alafu wanaharakati wanamshusha Diamond kisa siasa.

Siasa sio uadui.
 
Back
Top Bottom