Mnaanzisha Tatizo ambalo litawaangamiza na nyieKila mtu ashinde mechi zake halafu tuone mwisho itakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaanzisha Tatizo ambalo litawaangamiza na nyieKila mtu ashinde mechi zake halafu tuone mwisho itakuwaje
Kama kuna watu wanaihusisha hiyo petition na CHADEMA basi diamond atakuwa mwanaccm maana ccm ndiyo adui wa CHADEMA.Nawashanga watu wanShadadia ni chadema
Na mwishowe 2025 hii hapa wanagongwa tena wanarudi kuwachukia kina MondiUmeona ee wana mambo mengi ya msingi wanaacha kuyafatilia wamebaki kupiga ramli zisizokua na faida.
Mama Samia kawaweza kweli kabana kila kona wamekosa zile siri zilizokua zinawapa kiki
Hii ni hatari kabisa! Kweli tumefika hapo kuharibiana watanzania!!!!!! Siamini to hell with chadema people if this is the case Erythrocyte jamani are you people that much haters, kwa Mtanzania mwenzenu? Siamini
Ukishirikiana na Shetani utatengwa na jamii , jifunzeni , kila siku tutawafundisha mpaka lini ?Kama ni hivyo afadhali! Huo ni ujima maana inatakiwa tulumbane tukiwa ndani ila tukitoka nje tunakuwa kitu kimoja. Ndivyo walivyo kama wakenya, waghana, wanaija hata waganda. Huyu mtu akipata hata million moja atakuja kununua soda kwa Mpemba; hapo atakuwa ameongeza pato la mpemba. Tulumbane tukiwa ndani ila tukiwa nje kitu kimoja.
nakueleza dhambi hii hata akishinda Ney wa Mitego ambaye mpuuzi Lissu alisema ni mwenzao, watu wa ccm sasa nao watamwaga mboga; at the end tunakuwa taifa la kitoto tu
Nguvu unaipima na nini, ikiwa alishapitia hali kama hii, so kama ipo ipo tu.
Na mwishowe 2025 hii hapa wanagongwa tena wanarudi kuwachukia kina Mondi
🤣🤣🤣🤣nimecheka jamani adi nimesahau kama naomboleza msiba wa prophet🤣🤣🤣Chadema ni wauaji
Ukisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana, na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
Kina Bonifas Jacob ni watu wa chama gani?Kwani CHADEMA ndiyo wameanzisha hiyo petition ?
Ndivyo alivyoMkishampa hio sapoti akishinda anakuja kuwanyea
sisi hatujawahi kuleta matatizo , sisi ni nani hata tuweze kumshinda kada wa ccm aliyevishwa kofia na Magufuli ?Mnaanzisha Tatizo ambalo litawaangamiza na nyie
Kwa hiyo UN ilimuwekea vikwazo sababu mlipeleka petishenBado Yupo Kwani??
Ukishirikiana na Shetani utatengwa na jamii , jifunzeni , kila siku tutawafundisha mpaka lini ?
LisuWanachadema wa wapi hao na ni akina nani ?
Kwani umeona statement rasmi ya CHADEMA kwenye hiyo petition.?Kina Bonifas Jacob ni watu wa chama gani?
Ungefuatalia mwaka jana ilipotekea maandamo Nigeria ya polisi wa SARS kuua raia burna boy,davido,wizkido na wengine wote waliingia kitaaa nda raia kupinga
Si mnasema Watanzania wote ni ccm , sasa mnashindwaje kujipigania na kumpigania mwenzenu ?Shetani ni yule anayeombea anguko la binadamu mwenzie hamna tofauti na mwendazake mliyekua mkilazimisha aonekane dikteta. Nyie ndo mna udikteta mbaya sana