Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Maskini wale, stupid kabisa.
Wamesababisha hater niungane na team sadala.
Hawana pointi ni wivu tu
Wamesababisha hater niungane na team sadala.
Hawana pointi ni wivu tu
Mondi ni businessman kama wao wengeweka mkwanja angewawakilisha vyema. Sidhani mondi hata ana give the fuckk about ccm au chadema..anachojali ni profit gross ya kile alichohudumu. Sasa Sijui Kwanini achukiwe kama vile yeye ni kada wa ccm.
Chadema wenyewe wako after money hakuna anayejali Sijui kuleta usawa wala nini.
Wivu tu..
View attachment 1810451