Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

MTV MAMA na MTV EUROPE hizo kampeni zilikiwepo na bado MTV MAMA akachukua moja, EUROPE akabeba zote mbili, so kama ipo ipo tu.
Hazikua na nguvu kama sasa ivi

Mie asubuhi naangalia nilikuta ivi
IMG-20210605-WA0213.jpg
 
Makamanda wanapenda kujiliza liza na michango ya kila aina. Ney anawafagilia sana sikuona hata promo yao kwake hata kumpa show kwenye kampen za Lissu hawakutaka. Asilimia kubwa ya wasanii bongo walihusika kwenye kampeni za CCM miaka nenda rudi leo hii kuona kijana ana watoto kenya,Tanzania na uganda imewaumaaa mbaya zaidi kelele zake kwa Forbes zimewachomaa wanabaki kumsagia kunguni
Tatizo la makamanda uchwara ni umaskini..
Sadala hana shida wangempa pesa angewapigia Show moja matata tatizo lao hata ofisi tu makao makuu inawapa tabu mpka wakae chini ya muembe...
Wenzao ccm wametoa pesa yeye haangalii mtu usoni anaangalia pesa, ndio inamlisha mama yake na wanae..

Sasa makamanda walitaka wapigiwe Show bure 😀😀😀
 
Angalia spidi ya disqualifying partition ndio utaelewa kua watu wana mengi. Ray C mwanzoni alimsifia ila Leo kaongea ukweli wa moyoni na kaweka evidence based facts!
Weka screenshot
 
karma is bitch sometimes,nasema we have to play smart and positive.ukishakuwa msanii mkubwa popote unapaswa kusemea jamii yako vizuri pia na kuitetea so unapokosa hayo Kwa maslahi yako tatizo ndo linapoanzaa
 
Makamanda wanapenda kujiliza liza na michango ya kila aina. Ney anawafagilia sana sikuona hata promo yao kwake hata kumpa show kwenye kampen za Lissu hawakutaka. Asilimia kubwa ya wasanii bongo walihusika kwenye kampeni za CCM miaka nenda rudi leo hii kuona kijana ana watoto kenya,Tanzania na uganda imewaumaaa mbaya zaidi kelele zake kwa Forbes zimewachomaa wanabaki kumsagia kunguni
kumbe kinachowasumbua ni wivu tu walitaka awapigie Show bure
Mbona basi Roma hawampigii Promo akaitwe huko BET na yeye? 😀😀
 
Ukiwa masikini sana unakuwa na chuki tu kwa watu walio nazo.

Ndio sababu siku tajiri akifa utaona masikini wanashnagilia eti afadhali maana alikuwa ana ringa sana.

Nakushauri tafuta hela mkuu
Hata rais wetu magu alikua na hii mentality kwa wenye nazo
 
Back
Top Bottom