maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Sema hapo ndio jamaa kaprove failure, ni wasanii wachache sana wanatambua positions zao
Mi binafsi Ni fan Huyo Jamaa na respect hustle zake
Ila ana undezi Fulani akivaa zile sare zake za mbogamboga kwenye majukwaa Yao.
Anatusi watu wanaompeleka chooni.
Sikatai yeye kuwa mbogamboga Ila simile inahitajika Basi asitugawe mashabiki .
Avae hao mambogamboga bila kutunanga sisi independent na wale chadema.
Hata huko states wasanii wengi Ni Democrat Ila huwezi sikia wakikinanga GOP maana kuna fan wao wanaomini in conservative way.
Huyo dogo pamoja na kusafiri Ila unaonekana Hana exposure upande wa kurelate siasa na sanaaa
Shule muhimu .