The Honest One
Member
- May 11, 2021
- 53
- 70
Hii petition inapatikanaje na mimi nisaini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamuziki ganga njaa waliingizwa mkenge na magufuli,akawatuma kutukana our fellow citizens kutokana na mitazamo yao kisiasa,akawatuma na public figures wengine kugeuka wauaji wa wapinzani wake,akawatumia hadi viongozi wa dini kutumia mahubiri yao kuwatukana na kuwakashifu wapinzani wake,kwa hiyo issue haianzii na kuishia kwa diamond tu,bali hadi kwa askofu pengo na benson banna,wala si kwa gwajima tu,bali hata sheikh mkuu wa dsm naye alijiunganisha na ukatili ule kupitia uungaji mkono wake,sasa rafiki wa adui yako ni adui yako,alimsapoti adui wa watu,sasa watu wakimchukia yeye wajinga wanalalamika!! Huo ndiyo unafiki.Uchawi tu kwakweli, kwanini kulazimishana kuamini unachoamini? Hizi siasa mavi mavi sijui zinatupeleka wapi!!!
Wamuache huyu dogo kwakweli, kwa namna anavyopambana hii tuzo anastahili kabisa.
If you go against the pillars of our society pretending you exercise your liberty in the name of democracyChadema wao sijui Democracy na Liberty hua wanaitafsiri vipi.
Halafu wanasema wao ni chama cha Democracy[emoji848]
Naam ajitokeze, mdogo mdogo akina Roma wataheshimikamchezo ulivyoanza nilihisi hao jamaa wanajitekenya na kucheka wenyewe
hii issue imekuwa noma zaidi, mond akubali na aombe radhi jamii
serk imeua watu,inateka watu,inapiga watu risasi,inatupia watu baharin kwwnye mifuko n.k halaf unasided nayo unategemea nnAli side vipi na udhalimu?
Udhalimu upi?
Wewe kumpenda sanaaa Ni kujidharau[emoji1787]Hii haimzuii diamond wewe kikaragosi...huyu mwamba kumchukia ni kujiumiza..
MTV MAMA na MTV EUROPE hizo kampeni zilikiwepo na bado MTV MAMA akachukua moja, EUROPE akabeba zote mbili, so kama ipo ipo tu.Ila hatusahau kamwe
Mwaka Fulani diamond alikuwa anawania tuzo na akina davido watu wakaendesha kampeni Hadi akazipata
Pia kuna mwaka tuzo zile watu wakaenda kampeni Hadi akazikosa
Waliomuinua diamond Ni watu wa mtandaoni maana media zilimfungia vioo clouds na EA radio .
So Kama alipandishwa na watu wa mtandaoni ndio watakaomshusha .
Labda tuangalie hii BET award inataka wenye sifa gani?Ukisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana, na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
Hatakiwi kuipata... MaCCM inabidi yajifunze hapa..Hata mimi, yaani nitafurahi mno akiipata maana nguvu inayotumika kumkandamiza ni kubwa mno sijui wanafaidika na nini?
For sure.People hate what they can't conquer-Nas
Ni wivu mkuu,..
Chunguza sana wanaomchukia Diamond ni wale masikini wa kipato na kwa akili zao wanafikiri kufeli kwao ni kwa sababu ya diamond
Unaakili fupi sana.nani kasema Diamond aishabikie Chadema? Tunachopinga ni Diamond kuunga mkono udhalimu wa CCM dhidi ya wananchi na vyama vya upinzani. Yeye kama "public figure" alipaswa kuwa neutral kwasababu kazi zake hazina chama.kaleta ujuwaji sasa wacha ale jeuri yake. Na hili liwe funzo kwa wengine wanaovaa vaa hovyo manguo ya kijani.Siasa isiyo ya maji taka ni kuishabikia chadema tu?
Ila hatusahau kamwe
Mwaka Fulani diamond alikuwa anawania tuzo na akina davido watu wakaendesha kampeni Hadi akazipata
Pia kuna mwaka tuzo zile watu wakaenda kampeni Hadi akazikosa
Waliomuinua diamond Ni watu wa mtandaoni maana media zilimfungia vioo clouds na EA radio .
So Kama alipandishwa na watu wa mtandaoni ndio watakaomshusha .
Well said...Kupitia hili wasanii wengi watapata cha kujifunza ,maana kwa ujumla wao tukianza na mondi,kiba, konde walijichanganya sana kukomaa kwenye siasa sijui ndio kujikomba ili wasifuatuliwe na serikali.
Hapa ndipo nilipoamin kuwa hawa wasanii wana biashara nyingine nje ya mziki ,maana sio kwa kujikomba vile kwa magufuri ,mtu ukishakuwa na mashabik wa kutosha epuka siasa kabisa maana lazima utawagawa tu mashabik zako.
Mm nilikuwaga namwelewa sana Alikiba ila tokea mwaka Jana 2020 nilimu unfollow had insta .
Wasanii kaeni mbali na siasa maana siasa imebeba maumivu kwa baadhi ya watu walio wengi wachache wakineemeka na siasa ,haiwezekan msanii unayejielewa et unaandika mstari kama huu , asiyeipenda ccm abane choo
Si ndio hapo sasa, hiyo demokrasia iko kwao tu ila sio kwa wenzao.Chadema wao sijui Democracy na Liberty hua wanaitafsiri vipi.
Halafu wanasema wao ni chama cha Democracy[emoji848]
Duh siku hizi kuvaa nguo ya kijani ni kosahili liwe funzo kwa wengine wanaovaa vaa hovyo manguo ya kijani.
Jamaa ni wabaya,wachawi na ni wabaguzi bora CCM waendelee kubaki madarakaniHalafu hawa chama cha saccos ndio wanataka tuwape nchi namna hii?
Natamani nimzabe viboko mwenyekiti wao mlevi mbowe ili wajifunze.
Hebu tufanye ingekuwa mtoto labda wa mbowe ndio tunamfanyia hivi vikamanda uchwara si vingemwaga damu?