Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Ukipambana halafu ukaheshimu hustle za wenzio utapata baraka. Dogo shida dharau kwa wenzie
𝙷𝚊𝚖𝚞𝚎𝚕𝚎𝚠𝚎𝚔𝚒 𝚖𝚗𝚊𝚜𝚒𝚖𝚊𝚖𝚒𝚊 𝚠𝚊𝚙𝚒..!! 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝚖𝚝𝚞𝚗𝚊 𝚕𝚊𝚔𝚎
 
Watanzania mnasahau haraka sana.
Ila hatusahau kamwe

Mwaka Fulani diamond alikuwa anawania tuzo na akina davido watu wakaendesha kampeni Hadi akazipata

Pia kuna mwaka tuzo zile watu wakaenda kampeni Hadi akazikosa

Waliomuinua diamond Ni watu wa mtandaoni maana media zilimfungia vioo clouds na EA radio .

So Kama alipandishwa na watu wa mtandaoni ndio watakaomshusha .
 
Likiisha hili nadhan wasanii wengi watakua na akili

Huwez sided na udhalim half ukabaki salama

Nigeria wasanii wakubwa waliamua kuungana na wananchi na kupinga udhalim wa polis lkn tz wasanii wanaungana na wadhalim dhid ya wananchi

Kinachoendelea sasa nadhan wasnii wasipojifunza watakuwa na akili ngumu sn
Ali side vipi na udhalimu?

Udhalimu upi?
 
Dogo hata mm namkubali ila nimesign petition ili asirudie makosa ya kusupport ukandamizaji
𝙰𝚘 𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚠𝚎𝚗𝚞 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚘𝚔𝚊𝚠𝚊 𝚊𝚐𝚊𝚒𝚗𝚜𝚝 𝚗𝚊 𝚂𝚎𝚛𝚒𝚔𝚊𝚕𝚒 𝚢𝚊 𝚊𝚠𝚊𝚖𝚞 𝚢𝚊 5 𝚊𝚝𝚊 𝚝𝚞𝚣𝚘 𝚣𝚊 𝙰𝚏𝚛𝚒𝚖𝚊𝚖𝚊 𝚣𝚒𝚗𝚊𝚣𝚘𝚝𝚘𝚕𝚎𝚠𝚊 𝚑𝚊𝚙𝚘 𝚄𝚐𝚊𝚗𝚍𝚊 𝚝𝚞 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚓𝚊𝚠𝚊𝚑 𝚔𝚞𝚣𝚒𝚜𝚑𝚒𝚔𝚊
 
Kupitia hili wasanii wengi watapata cha kujifunza ,maana kwa ujumla wao tukianza na mondi,kiba, konde walijichanganya sana kukomaa kwenye siasa sijui ndio kujikomba ili wasifuatuliwe na serikali.

Hapa ndipo nilipoamin kuwa hawa wasanii wana biashara nyingine nje ya mziki ,maana sio kwa kujikomba vile kwa magufuri ,mtu ukishakuwa na mashabik wa kutosha epuka siasa kabisa maana lazima utawagawa tu mashabik zako.

Mm nilikuwaga namwelewa sana Alikiba ila tokea mwaka Jana 2020 nilimu unfollow had insta .

Wasanii kaeni mbali na siasa maana siasa imebeba maumivu kwa baadhi ya watu walio wengi wachache wakineemeka na siasa ,haiwezekan msanii unayejielewa et unaandika mstari kama huu , asiyeipenda ccm abane choo
𝙱𝚛𝚘𝚝𝚑𝚎𝚛 𝚑𝚒𝚢𝚘 𝚠𝚊𝚕𝚊 𝚜𝚒𝚘 𝚜𝚊𝚋𝚊𝚋𝚞 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚟𝚒𝚙𝚒 𝙲𝚑𝚊𝚍𝚎𝚖𝚊 𝚖𝚜𝚒𝚠𝚎 𝚖𝚊𝚜𝚑𝚊𝚋𝚒𝚔𝚒 𝚠𝚊 𝚂𝚒𝚖𝚋𝚊 𝚖𝚊𝚊𝚗𝚊 𝙼𝙾 𝚗𝚒 𝚖𝚠𝚊𝚗𝚊𝚌𝚌𝚖
 
Kwa saizi bado, subiri apite kwenye hizo tuzo ndio utamjua
𝙰𝚝𝚊𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚗𝚗? 𝚣𝚊𝚒𝚍𝚒 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊𝚊𝚖𝚋𝚒𝚊 𝚠𝚊𝚜𝚊𝚗𝚒𝚒 𝚠𝚎𝚗𝚣𝚊𝚔𝚎 𝚠𝚊𝚙𝚊𝚖𝚋𝚊𝚗𝚎 𝚠𝚊𝚕𝚎𝚝𝚎 𝚟𝚒𝚝𝚞 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚑𝚒𝚟𝚘 𝚗𝚢𝚞𝚖𝚋𝚊𝚗 𝚜𝚒𝚘 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝚜𝚒𝚔𝚞 𝚔𝚞𝚕𝚒𝚊𝚕𝚒𝚊
 
Mkuu,unamaanisha Chadema ndyo waliua biashara?
Unamaanisha kuwa Chadema ndyo walimuua Aquelina?
Unamaanisha kuwa Chadema ndyo walikuwa wanaua watu na kuwaweka kwenye viroba?
Unamaanisha kuwa Chadema ndyo walikuwa wanateka watu?
Pia,unamaanisha kuwa Chadema ndyo walioandaa hiyo petition?

You need to act like a gown up person!
Kumbe unajua kuandika....
mzee wa 'noma sana'
 
Ila hatusahau kamwe

Mwaka Fulani diamond alikuwa anawania tuzo na akina davido watu wakaendesha kampeni Hadi akazipata

Pia kuna mwaka tuzo zile watu wakaenda kampeni Hadi akazikosa

Waliomuinua diamond Ni watu wa mtandaoni maana media zilimfungia vioo clouds na EA radio .

So Kama alipandishwa na watu wa mtandaoni ndio watakaomshusha .
Diamond sasa hivi hawezi kushushwa na vikampeni uchwara vya akina kigogo
 
Hahahaha, hawa jamaa tangu wawe machawa wa mama akili zao zimeruka,

Walikwepo bungeni, Diamond ndo alizuia Maendeleo majimboni mwao?

Utalikuta limtu lizima kabisa huko liliko limekakomalia kajamaa kadogo, Bahati mbaya zaidi kajamaa kamelizidi pesa, umaarufu, akili na vinginevyo.

Sio lazima kila mmoja awe mwanaharakati uchwara ili kuwafurahisha genge la wahuni fulani
 
Back
Top Bottom