mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,174
- 2,912
Kupitia hili wasanii wengi watapata cha kujifunza ,maana kwa ujumla wao tukianza na mondi,kiba, konde walijichanganya sana kukomaa kwenye siasa sijui ndio kujikomba ili wasifuatuliwe na serikali.
Hapa ndipo nilipoamin kuwa hawa wasanii wana biashara nyingine nje ya mziki ,maana sio kwa kujikomba vile kwa magufuri ,mtu ukishakuwa na mashabik wa kutosha epuka siasa kabisa maana lazima utawagawa tu mashabik zako.
Mm nilikuwaga namwelewa sana Alikiba ila tokea mwaka Jana 2020 nilimu unfollow had insta .
Wasanii kaeni mbali na siasa maana siasa imebeba maumivu kwa baadhi ya watu walio wengi wachache wakineemeka na siasa ,haiwezekan msanii unayejielewa et unaandika mstari kama huu , asiyeipenda ccm abane choo