Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Huyu dogo kwenye maslahi yake yuko radhi kwa lolote. sio mtu wakusimamia haki. ni mtu wa maslahi. kupenda haki na kuitenda ni hasara na faida halisi. kwani ukitenda haki waweza kufa,kufilisika kuonekana mjinga japo background,unaishi sana. mifano ni mingi. Tusiweke maslahi mbele kuliko utu.
 
Sema nini, waliompost diamond ni wengi sana kwenye Instagram page zao, lakini kwenye petition ya kumdisqualify kura ni nyingi kuliko ile petition ya kumsupport.

That means walimpost ila hawakumaanisha, waliompost ndio wanaooongoza kupiga kura aondolewe.
 
Back
Top Bottom