Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Mambo kama haya ni ya kawaida sana ukishakuwa kwenye spot light hivyo Mondi wala asishtuke.

Michael Jakson wala hakuimbia siasa lakini walimpanda kichwani kila kukicha.

Chademas are just tripping.


So There's Really No Time
To Be Trippin' On Me

You Got School Teachers
Who Don't Wanna Teach
You Got Grown People
Who Can't Write Or Read
You Got Strange Diseases
Ah But There's No Cure
You Got Many Doctors
That Aren't So Sure
So Tell Me
Stop Trippin'
We've Got More Problems
Than We'll Ever Need
You Got Gang Violence
And Bloodshed On The Street

"Kuna Walimu Wa Shule
Ambao Hawataki Kufundisha

Kuna Watu Wasiojua Kusoma
wala kuandika

Kuna Magonjwa Ya Ajabu
yasiyo na tiba

Kuna Madaktari Wengi
wasiojua kutibu

Kuna umwagaji Damu Mtaani...
 
Ni Nani aliyesema ivyo kuwa abane choo jamani
 
Kuna pia hili la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!

Haya yote wameona hayana maana ila hili la Mondi ndio lina faida kwao.

Hawa jamaa ni masikini wa akili na kipato pia.

Ila utaona ikifika oktoba 2025 akili ndio zinawarudi.

Ngoja ccm iendelee kuwagonga tu
 
sijui Kama dogo atachomoa.
 
Kutoka kwenye harakati za siasa adi mziki[emoji28][emoji28][emoji28]wame kosa habari serikarini wame hamia kwenye mziki ..
 
Kwani kuna viongozi WA chadema ndio wanaomkataa asipate?
Kama ni wanachama hata WA ccm wako wengi hanampinga kutokumuunga mtu mkono hata nyinyi mnaunga mkono mauaji nautekaji kisa ni wapinzai.

Kiufupi hili halijachagua wananchadema tu kila mtu yumo humo wakiwemo wanachama WA ccm.
 
Anatumia ushawishi wake vibaya, ni vizuri afunzwe adabu Ili na wengine wajifunze kuwa udhalimu haulipi.
 
Point kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…