Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Kwanza kuupanda huo mlima wa wiz kid na burna boy ni mtihani halafu inakuja petition ,asahau kabisa hiyo tuzo
Ila bora akose tuzo kwa kutokupigiwa kura..

Akiondolewa kwa petition kama hii, itamuharibia sana future.. maana content ya hii petition sio ya kitoto
 
Hivi ikifika 15,000 BET wanaweza kuchukua hatua za kumchomoa? Maana mpaka sasa ipo 13,200
Kwanza ikifika 5000 inaweza kuwa kwenye local news ndo maana ndo ishu inayotrend Sasa,zaidi ya 5000 inapeleka zaidi attention kwenye vyombo vya kimataifa na lazima itazungumzwa tu
 
Kwanza ikifika 5000 inaweza kuwa kwenye local news ndo maana ndo ishu inayotrend Sasa,zaidi ya 5000 inapeleka zaidi attention kwenye vyombo vya kimataifa na lazima itazungumzwa tu
Kwanza lazima iwashitue hata hao BET wenyewe.. watu 15,000 ku sign petition ndani ya masaa 24 sio kitu kidogo
 
Kumekucha kumekucha. Contents za petition ni nzito mno. Ni nani huyo ameziframe? Ikipita hii itakuwa imemharibia mno domo Kimataifa. Ni fundisho kwa wasanii kuwa wanapaswa kuwa neutral kisiasa. Pole zake
 
Back
Top Bottom