Mkuu we umevote lakini?🤣🤣🤣🤣Duh.. aisee basi hapa kaangukia pua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu we umevote lakini?🤣🤣🤣🤣Duh.. aisee basi hapa kaangukia pua
Wapi unasaini famili na ukoo wangu wanataka kumtoa huyu
Na ndo anachokosa huyu mtandale,My Prime suspects wa hii content...
1. Forbes
Like serious unawaambia FORBES wameandaa stupid content halafu wakulazie damu 🤣. He messed up with their brand so do they i guess.
2. Lissu/Chadema
Hili halihitaji maelezo maana wengi mitizamo yao imeegemea hapa.
Jamaa ajifunze kuuma na kupuliza, technically known as diplomacy
Hakuna anae jidhalilisha tunaweka rekodi sawa .Mnajidhalilisha nyinyi tu kushindana na vitoto vidogo,mwisho wa siku mnabaki uchi tu.
Siasa ishawashinda huko mpo mpo tu Kigogo/Chadema wakiongozwa na makamu mwenyekiti anayewawakilisha.
Vimetukanwa havina hamu
Aseeee hata mm skuzan issue itafika huku..never underestimate your enemy..GADAF ALISEMA KULE BENGHAZI WALE N MENDE TU ...the rest is historyMchezo ulivyoanza nilihisi hao jamaa wanajitekenya na kucheka wenyewe
Hii issue imekuwa noma zaidi, mond akubali na aombe radhi jamii
Eti eeeh, 🤣🤣 upinzaniHakuna anae jidhalilisha tunaweka rekodi sawa .
Hivi unajua msingi wa haya yote Ni Nini ?Watu ni wanafiki sana yani diamond kasaidia watu wengi sana
Diamond kajenga miskiti.
Diamond kanunulia vijana gari, bodaboda.
Diamond katoa wasanii kibao.
Diamond kafungua tv, radio kaajiri vijana.
Unafiki wa hawa watu kipindi diamond nyimbo zake zimesusiwa na media za bongo kuna mpumbavu yoyote aliyewahi kuja kumsemea.
Wabongo tuna kaunafi flani.
Tuzo anaipata.chadema si machawi tu na roho ya ubinafsi tu.Hii tuzo mondi haipati.
Watu online ndio waliomuinua na ndio watamshushaYani walikua wanamaanisha kabisa bile hata chembe kwamba hupati kitu.wanarudia kabisa tutahakikisha hupati
Mpaka nimeogopa
Sawa sisi tumeamua hapati tuzoHivi kwannini watu wanapenda kuwapangia wenzao maisha???
Kila mtu anafanya vitu kwa maslahi yake binafsi, kwahiyo mtu asifanye show ya CCM akalipwa maisha yake yakaenda kisa anawaogopa Chadema... Hakii kuna watu wana akili za ajabu sijapata kuona aisee
Kama mnamnyima tuzo mnyimeni ila hii sababu ya kisiasa ni sababu ya kijinga kupata kutokea!!!
Ajifunze kuwa na wananchi,tatizo amekuwa na nyodo sana huyu jamaa,,ajifunze kwa Davido...kaa vipi bora akae kimya...Ukisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
HakikaMimi sijali kama atapata au la ila kwa hiyo petition ilivyoandikwa sidhani kama hao wamarekani watamwacha kuendelea kuwa nominee wa kugombea hiyo tuzo.
Kama wana ccm ni wengi kiasi hicho wy ashindwe?Ukisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
Yaani huyu atatukoma sana na hii ni salaam tu je unajua ule wimbo baba lao sasa kakutana na visikiYaani Chadema mmetoka kupambana na serikali mpaka mnapambana na Diamond..Shame on you!!!
Bado yule Zunchu Mawe[emoji23][emoji23]Sipendi mtu aharibikiwe, Lakini mwaka Jana nililisema sana jinsi wasanii wa Tanzania wanavyotumika vibaya kisiasa iwe A au B. Panda jukwaani nadi Sera za unayemshabikia lakini kugeuka mwanasiasa na kukashifu upande mwingine ilikuwa lazima iwagharimu.
Yeyey kufanya siasa za uadui majukwanii sawaKuna mambo mengi ya msingi sana kuliko hilo.
Kuna watu wamekosa ajira its about more than 6 yrs now.
Kuna wazee wamestaafu from 3 up to 6 years bila mafao.
Kuna watumishi hawajapandishwa vyeo ni almost 6 years.
Wanachi wanahitaji BIMA za afya.
Kuna vijiji havina maji tangu uhuru.
Shule nyingi hazina vitendea kazi na watumishi.
Hospitali na zahanati hazina dawa wala watumishi.
Alafu wanaharakati wanamshusha Diamond kisa siasa.
Siasa sio uadui.
CCM genge la wachawi[emoji1][emoji1787]Binafsi wanapoteza credibility katika siasa zao, haiwezekani makamu Mwenyekiti wa Chama aliaminiwa na Chama chake kugombea urais unahangaika na mwanamziki sababu tu alikuwa upande flani kwenye kampeni,Dogo ana wafuasi wengi sana na mashabiki wengi sana kumharibia dogo mashabiki wake hawafurahii pia,so Chadema ni genge la wahuni !