Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Mwana CCM damu damu, hivyo msimtishe atapigiwa kura na wana ccm wenzie.
 

Attachments

  • facebook_1623000798464.mp4
    1.4 MB
Nilikua nakukubali Sana muheshimiwa wa jimbo langu la singida tundu za chooni antipum*** munio kumbe minyaturu inaroho mbaya namna hii nimepata hasira sana juu yako kijana wawatu tumbo lake linakutekenya Sana
Wewe haujawahi kuwa shabiki Wala fan wa lissu

Achana unafiki mzee
 
My Prime suspects wa hii content...

1. Forbes
Like serious unawaambia FORBES wameandaa stupid content halafu wakulazie damu [emoji1787]. He messed up with their brand so do they i guess.

2. Lissu/Chadema
Hili halihitaji maelezo maana wengi mitizamo yao imeegemea hapa.

Jamaa ajifunze kuuma na kupuliza, technically known as diplomacy
Kwa hiyo Lisu sasa hivi amejikita kupambana na diamond badala ya ccm?
 
Hao wanaijeria ushawahi waona wakipigania boko haramu ikomeshwe?kuna mauaji mabaya zaidi kuliko ya boko haramu huko? haya saiv wamefungiwa twitter je wameanzisha kampeni gani.

Kumbuka davido baba yake ni mfuasi mkubwa wa upinzani na ba mkubwa wake ni mbunge wa upinzani na pesa ipo tangu anazaliwa hivyo ana jeuri kuliko sadala aliyekulia kwenye umaskin
Tumia usitumie makalio unaponi quote.

Rudi kusoma nimeandika Nini na wewe umeandika ushuzi gani
 
Screenshot_2021-06-06-20-45-29-504_com.android.chrome.jpg


Aisee wanakula kichwa.
 
Hivi unajua msingi wa haya yote Ni Nini ?

Hatusagii sumu Huyo Jamaa sababu ga kusaidia watu unanipata mzee.

Tunamsagia kunguni kwa kuamua "kukaa kimya" sawa mzee

Tumeelewana hapo
Kukaa kimya? Yani ulitaka aingie kwenye marumbano na selikali kisa siasa zenu uchwara?
 
Watu online ndio waliomuinua na ndio watamshusha

Yeye si anapandisha mabega.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mondi alishapambana mapambano mkubwa zaidi ya haya! Kina Ruge wote hao walipambana nae wakashindwa sembuse hii harakati mbuzi ya kina kigogo?
 
Ajifunze kuwa na wananchi,tatizo amekuwa na nyodo sana huyu jamaa,,ajifunze kwa Davido...kaa vipi bora akae kimya...
Kuwa na wanachi kiaje?

Kakufanyia nyodo kivipi?

Masikini siku zote humuona tajiri ana nyodo
 
Hata mimi ninasema sadala asipate tuzo hii, ameshiriki kikamilifu kutufikisha hapa, kama wasanii kipind mwendazake anasigina katiba wangekua na misimamo kama Roma na Nay bas hata huyu shujaa labda angepunguza kidogo maumiv sasa,yy alikua biz kujibrand kupitia maovu acha wamchore bhana
Maovu kma yapi?
 
Kama wana ccm ni wengi kiasi hicho wy ashindwe?
Weka Kando alivokua anamkatikia magufuli alidhani Sisi hatutageuka wachawi mwisho wa siku?
Ngemkatia Lisu ingekuwa safi?
 
Mtafeli kama mnavyofeli kwenye mengi!

Yani diamond awakome chadema?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuwe na tume huru ya Uchaguzi halafu ndio uje uandika viazi vyako hapa na katiba mpya iwepo.
 
Back
Top Bottom