Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Chadema wao sijui Democracy na Liberty hua wanaitafsiri vipi.
Halafu wanasema wao ni chama cha Democracy[emoji848]
Wazee wa propaganda mshageuza hii mada kwa chadema! Why chadema na sio act?
 
Tuwe na tume huru ya Uchaguzi halafu ndio uje uandika viazi vyako hapa na katiba mpya iwepo.
Nyie ni wapumbavu!

Sasa tume huru itapatikana kwa kuelekeza nguvu zenu kupambana na diamond kama hivi kweli?

[emoji23] [emoji23] Yani chama kizima hata mikutano anayofanya mwenyekiti wenu huko mikoani hamna habari nayo eti mnapambana na diamond alafu unaota tume huru?
 
Tuwe na tume huru ya Uchaguzi halafu ndio uje uandika viazi vyako hapa na katiba mpya iwepo.
Time huru imekuwa ni chaka la kujifichia tu, ila ukweli ni kwamba CDM haitawahi ongoza hii nchi na hata mmiliki wa hicho chama anajua.
 
Screenshot_20210606-205651.png
duuh bado 811.. kweli watu wapo serious
 
Nyie ni wapumbavu!

Sasa tume huru itapatikana kwa kuelekeza nguvu zenu kupambana na diamond kama hivi kweli?

[emoji23] [emoji23] Yani chama kizima hata mikutano anayofanya mwenyekiti wenu huko mikoani hamna habari nayo eti mnapambana na diamond alafu unaota tume huru?
Chama kina polisi na kila kitu lakini mkisikia nguvu ya umma presha. Domo anaonyeshwa the reality ya nguvu ya umma na awe na adabu na jamii inayomzunguka.
 
Wazee wa propaganda mshageuza hii mada kwa chadema! Why chadema na sio act?
Ikiwa nyinyi mliogopa na hamkuwa tayari kujitokeza hata pale ambapo viongozi wenu waliwataka, diamond ni nani hata ajitokeze ikiwa alikuwa na vitu vingi vya kupoteza? Waliojitokeza kisha wakashikwa na serikali,mmewaenzi vipi?

Kufanikiwa kwa Mond hakuhusiani kabisa na swala la support ya wanaharakati njaa, ndiomaana pamoja na kumsagia kunguni dogo Mond bado hamuwezi kumfanya ROMA ashinde hiyo tuzo.
 
Lakini ni kweli kwamba zikifika 15 inaweza kumuathiri kwenye nomination?
Wanajitekenya tu,afu dogo mwenyewe wala hana muda nao kabisa[emoji23].

Watu wamekosa kazi za kufanya, aliekuwa anawapa mada za kujadili kila siku ndohivyo ameshakufa, sasa wamebaki kuzua visa visivyokuwa na kichwa wala miguu. Hivi kweli leo hii hapa Jf, Mond ni wakujadiliwa kuliko hata Rais wa nchi?
 
Wazee wa propaganda mshageuza hii mada kwa chadema! Why chadema na sio act?
Tundu lisu na kigogo ndio wameikolezea hii mada, tundu lisu hawezi tenganishea na chadema sababu sababu alizotoa ni za kisiasa
 
My Prime suspects wa hii content...

1. Forbes
Like serious unawaambia FORBES wameandaa stupid content halafu wakulazie damu [emoji1787]. He messed up with their brand so do they i guess.

2. Lissu/Chadema
Hili halihitaji maelezo maana wengi mitizamo yao imeegemea hapa.

Jamaa ajifunze kuuma na kupuliza, technically known as diplomacy
Aliyeandaa ni Maria Sarungi
 
Lakini ni kweli kwamba zikifika 15 inaweza kumuathiri kwenye nomination?
Sina hakika lakini inaweza kuathiri!
(Tazama R Kelly na TUHUMA za ngono au Michael Jackson)
Sometimes mitandao ina cost personal life
 
Chama kina polisi na kila kitu lakini mkisikia nguvu ya umma presha. Domo anaonyeshwa the reality ya nguvu ya umma na awe na adabu na jamii inayomzunguka.
Huwezi kumfanya chochote mond!

Kama ni kushindwa itakuwa si kwa sababu ya kelele zenu.
 
Back
Top Bottom