Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Ila sisi wa tz tuna roho mbaya sana aise.... Na hii harakati chadema mmefeli sana huu sio utanzania kabisa na kama ndo ivi mnavyoenda hii inchi hamtakaa ukamshika dola.... Diamond ana maisha yake binafsi na hii ni nchi ya demokrasia na nyie kila siku ndo mnaubiri demokrasia... This is not fair kwa uyu chalii na hapa anapambania taifa though sifa zingeenda kwake lakini angeleta heshima hapa tz... Achana roho mbaya wakulingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi ccm wamepiga kura na kusapoti hiyo mswaada!
+alikiba fans
+KONDEGANG fans
+chadema fans
 
Siwakubali ccm ila sijawahi kuwa na imani na chadema.. Sawa mimi si mpenzi wa muziki kwa saana, naweza nisiwe mpenzi wa diamond pia lakini huu ni ufala wa kiwango cha SGR..


Mie ningeona wa maana kama wangeanzisha petition ya mchakato wakufosi katiba mpya hapo ningewaona jamaa wa maana saana...

Hivi hakuna jamaa ambae ana kingereza swaafi kilichonyooka na sisi tuanzishe petition kwa ajili ya katiba mpya(NAWAZA TU)
mie kingereza changu cha fizikia itakuwa vichekesho.., is, the na and zitajaa ujumbe haujafika. [emoji23] kingereza kizuri usome kaandika mwenzio au kaongea mwenzio[emoji23]

Kidhati kabisa tz tunahitaji katiba mpya, hawa kina diamond tutawaonea tu ungekuwa wewe ungefanya nini, wakat mwingine unamtumikia tu kafiri yako yaende, sio diamond tu hakuna msanii wa level angegoma kumlamba viatu magu na ccm yake.
 
Astaghfirurah
Huu si sawa na uchawi tuu

Kwakua pioneers wa hii movement ni wanachadema na wakosoaji, ni heri chama kitoke hadharani na kukana mara moja kuhusika.

Yaani chadema wakane kipi anachotuhumiwa nacho bingwa wa magu baba lao?

Kwamba alichagua kujipanga na chama na mwenyekiti wa chama alofanya yote yale kwani ni uongo?

Msiihusishe Chadema na matatizo yenu. Pambaneni na hali zenu wenyewe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Uchawi tu kwakweli, kwanini kulazimishana kuamini unachoamini? Hizi siasa mavi mavi sijui zinatupeleka wapi!!!

Wamuache huyu dogo kwakweli, kwa namna anavyopambana hii tuzo anastahili kabisa.
Roho mbaya tuu zimewajaa
 
Uzuri MUNGU hatoki kijijini kwao, kama ipo ipo tuu! ...
 
Ivi ndiyo style tunayo katika nayo wanachadema,
Alivokua anamkatikia magufuli alidhani sisi hatuna viuno vya kukatika, hii ndiyo style yetu ya kukatika,
Fyekelea mbali Swain.
 
Ivi ndiyo style tunayo katika nayo wanachadema,
Alivokua anamkatikia magufuli alidhani sisi hatuna viuno vya kukatika, hii ndiyo style yetu ya kukatika,
Fyekelea mbali Swain.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…