Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Kingine, let say anatolewa kama mnavyotaka, je asingetolewa alikua anaenda shinda dhidi ya wakali wa naijeria ktk category yake?
 
KWA NAMNA MAGUFULI ALIVYOITENDEA TZ UBAYA KUUNGANA NA MONDI NI KUSALITI DAMU ZA AKWILINA LISU AZORY SANANE NAWENGI WALIOKUFA CHINI YA DIKTETA MAGUFULI
 
Aiseee hii si sawa hata kidogo. Wanaacha kuwashikia bango kina bashite huko wanakaa kuonea vijana waliotafuta kwa jasho lao wenyewe.

Kwa hili hao wanaharakati uchwara wa chadema wamezingua sana, unawapaje nchi watu wenye visasi namna hii.
 
Hivi Kwa nini Wana CCM wanaogopa Kura? Hata zikiwa hazina madhara?.
 
Wanawake zake tu. Wanaweza kumsadia kushinda hiyo tuzo. Wanamashabiki wengi ni ajabu. Na CCM wapo. Wasio na vyama wapo. Njee ya nchi wapo. Ni sisi tu wa wafuasi wa chadema. ACT wengine watapiga kura. Wengine tunao
 
Aiseee hii si sawa hata kidogo. Wanaacha kuwashikia bango kina bashite huko wanakaa kuonea vijana waliotafuta kwa jasho lao wenyewe.

Kwa hili hao wanaharakati uchwara wa chadema wamezingua sana, unawapaje nchi watu wenye visasi namna hii.
Mkuu mbona una hasira sana?
 
Aiseee hii si sawa hata kidogo. Wanaacha kuwashikia bango kina bashite huko wanakaa kuonea vijana waliotafuta kwa jasho lao wenyewe.

Kwa hili hao wanaharakati uchwara wa chadema wamezingua sana, unawapaje nchi watu wenye visasi namna hii.
Hata Magufuli alikua na visasi lakini alipewa nchi.
 
Mpaka sasa naona mtetezi royal wa Sadala ni Crimea tuu, simuoni Slowly, Kigoma independent daah...
 
Mwendazake amepanda chuki Sana baina yetu, hata Kama bet hawamtoa diamond Ila chuki ya wazi imeonekana na nachoona Ni reflection ya matendo ya rais marehemu
Kila mtu keshajifunza Sasa tusonge mbele pamoja
Tusikubali chuki alizopanda magufuli zitugawe Kama taifa, diamond ameshapata ukweli wa namna alivyokwaza watu Ila yaliyopita tuachane nayo tusonge mbele pamoja
 
Na MO alitumia siku ya Simba day kumsifia Magufuri..kwanin naye wasijitenge na biashara zake ikiwepo kuacha kushangilia Simba
 
Mchezo ulivyoanza nilihisi hao jamaa wanajitekenya na kucheka wenyewe

Hii issue imekuwa noma zaidi, mond akubali na aombe radhi jamii
Radhi aanzie kwanza kwa baba yake , dhambi ya kumnyanyasa mzazi wa kiume akivua nguo na kulinyoosha dushe juu huku akinuia hutoboi. Huyo mama yake na huyo anayewalia frdha anayejiita ucle wanamnanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…