Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Hata mimi sijapenda jamani.. hapana aisee lets be positive kwa huyu dogo..khaaa.! Too much

You cant eat your cake and have it at the same time. Diamond alitaka awe in good books za CCM na wahanga wa utawala wa Jiwe. Kuna wengi waliumizwa na Jiwe. So any Association na utawala wake...ni passport ya chuki.
Kwenye viinchi vyetu vya kimasikini na uzalendo uchwara, watu wenye nafasi kwenye jamii kama Diamond na wenzake..lazima daima wewe makini wanasimama wapi na nani. They should be above petty politics .

Humu wengi just talk but truth is chini ya Jiwe kuna watu walipata majeraha ambayo hayatibiki. Kitendo cha Diamond kuwa karibu ba huu utawala ni doa kwake.

Haya mambo ya wasanii wakubwa kususiwa na fans au sponsors tuliyazoea Ulaya na kwingineko . Lakini sasa naona hata Africa yanakuja kwa kasi.
 
Aisee
 
Mi nachokiona hapa ni tu BET wanafanya wanavuta tention ya watu ila mwisho wa siku usijeshangaa domo anachukua tuzo
 
Wanaohusisha chama cha CHADEMA na hili suala la Diamond ni wavivu wa kufikiri na kusoma madai ya petition ya kumtoa Diamond,sababu ziko wazi someni mjibu hoja. Mimi ningekuwa Diamond ningeomba radhi kwenye jamii ili yaishe
 
Diamond akipita kwenye hii atakua shujaa wa bongo,
Lakini akifeli itakua funzo kwa celebrities wengne "watakemea" maovu kwenye jamii kama davido, wizkid, teni, n.k (unakumbuka END SARS)
Nyie serekali ya kibongo CCM hamuijui jamaa wana fitna kinoma ..... Usipojipendekeza kwao watakulima kodi mara nini sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…