mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Yes biashara ndio kipaji chake ndio maana kawa mwanamuziki pekee Tanzania aliyepata mafanikio makubwa katika biashara ya muziki. Kama ulikuwa hujui basi fahamu kuanzia sasa kuwa muziki nao ni biashara. Halafu haya mambo ya perfumes si pekee aliyefanya, kimataifa wapo akina Jay Z, Beyonce, Michael Jackson, David Beckham, Britney Spears, Justin Beiber, Usher, Bruce Willis, Rihanna na wengineohuyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.
hueleweki unasimamia wapi.... sioni tatizo kwenye hiyo brand yake....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?
Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....
Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..
Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
Umemsahau Nguli Christiano RonaldoYes biashara ndio kipaji chake ndio maana kawa mwanamuziki pekee Tanzania aliyepata mafanikio makubwa katika biashara ya muziki. Kama ulikuwa hujui basi fahamu kuanzia sasa kuwa muziki nao ni biashara. Halafu haya mambo ya perfumes si pekee aliyefanya, kimataifa wapo akina Jay Z, Beyonce, Michael Jackson, David Beckham, Britney Spears, Justin Beiber, Usher, Bruce Willis, Rihanna na wengineo
Hata mie ni mmoja waoSijui kama ntatumia hiyo bidhaa ase
Utaepuka perfume but mapenz tuna share, hakuna cha peke yako labda kaburiHata mie ni mmoja wao
moja ya kitu nachochukia ni kujikuta gari zima tunanukia perfume ya aina moja
Hater utapata kirungulia kwa kumchukia huyu mtuhuyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.
Kipaji Na Akili Hamuoni Cr7Bora amekigundua kipaji chake halisi, hzo ndo shughuli zake muziki alivamia ili apate mtaji, sasa awaachie wenye muziki wao waendelee kutuburudisha.....
Misemo Ya Kimaskin....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?
Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....
Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..
Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
Hawezi toa zote harufu ya aina mojaHata mie ni mmoja wao
moja ya kitu nachochukia ni kujikuta gari zima tunanukia perfume ya aina moja
Sawa Ali Kiba tumekuckia....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?
Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....
Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..
Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemaliza kabisaMisemo Ya Kimaskin