George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Yap...huyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.
hivi mond alikukosea nini?Wewe mtu tokea jana unanifurahisha sana.
Nimekupenda bure!
Washabiki wa Alli Kiba mna visa!! Ila Ukweli utabakia pale pale kua CHIBU is in another level, the lever where KIBA can't reach.Bora amekigundua kipaji chake halisi, hzo ndo shughuli zake muziki alivamia ili apate mtaji, sasa awaachie wenye muziki wao waendelee kutuburudisha.....
Hatershuyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.
Embu tup defn ya biashara...huyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.
....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?
Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....
Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..
Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
na mimiNa mimi
Na Taifa kwa ujumlaKijana wenu??!!....wew na nani?
....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?
Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....
Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..
Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
Awaachie akina nani ?Bora amekigundua kipaji chake halisi, hzo ndo shughuli zake muziki alivamia ili apate mtaji, sasa awaachie wenye muziki wao waendelee kutuburudisha.....
huyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.
Endea kusapoti mziki wenu Wa kkoo....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?
Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....
Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..
Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
Kama Michael Jackson,Bob Marley,Tupac na legends wengine wa muziki walikuwa na Perfume zao basi hao uliowataja ukijumlisha na Diamond sio wapiga kelele.Ina maana hata kina beyonce, Rihanna, Diddy, Jay Z, Niki minaj, Mariah Carey, Britney Spears, Lady gaga, Katy Perty nakadhalika hao kwenye muziki wanapiga kelele na kulazimisha fani miaka yote hii.? Maana wote hao nilowataja wana brand kubwa za perfume zinazofanya vizuri duniani ukiachana na muziki wao ambao bado pia unafanya vizuri. Hebu tuachage majungu basi, tuanze kuwaza ki karne ya 21 usiwaze kama uko enzi za middle stone age ndo unasubiri kuvumbua moto
Yeye kaandika 'the scent you deserve' wewe umekuja na the secret....., ulidhani amekosea???
BTW hongera kwake.