Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

Hongera Sana Utawapata mazwazwa kwenye huo uturi wako sie ni mwendo wa Nivea For Men 48hrs protection.
uzuri ni kuwa hajakulazimisha ununue,wala hajakulazimisha uachane na nivea yako......yeye anatangaza biashara kama wewe ulivotangaziwa nivea ukaipenda ukanunua
 
uzuri ni kuwa hajakulazimisha ununue,wala hajakulazimisha uachane na nivea yako......yeye anatangaza biashara kama wewe ulivotangaziwa nivea ukaipenda ukanunua
Ni Kweli Mazwazwa Hawakosekani lazima atasepa nao...[HASHTAG]#Tunasepanakijiji[/HASHTAG].
 
Utasikia watu wanahoji utajirii wake unatokana na nini MTU anajitumaaaaaaa hiviii ALIKIBA kama ana akili naye ni mda wa kufanya biasharaaa wanaimba ili wapate pesaaa sasa ni mda waooo
 
Utasikia watu wanahoji utajirii wake unatokana na nini MTU anajitumaaaaaaa hiviii ALIKIBA kama ana akili naye ni mda wa kufanya biasharaaa wanaimba ili wapate pesaaa sasa ni mda waooo
Kwa show zipi za kumfanya afanye biashara kama hiyo
 
wenyewe wana misemo yao utaskia
i will make the world a better place to live
the world is mine i make it spine
freemason nomer sana
 
hii ingenoga kama angeiita "DoMo" .. hii chibu ina sound kama pombe flani ya kienyeji,, ni maoni yangu lakini
 
Bora amekigundua kipaji chake halisi, hzo ndo shughuli zake muziki alivamia ili apate mtaji, sasa awaachie wenye muziki wao waendelee kutuburudisha.....
Akina nan hao weny music wao [emoji89]
 
Watalaamu wa biashara nawaomba katika hili kwamba kwa msanii wa muziki kuanzisha pafyum yake itamsaidiaje kiuchumi..tunaomba uchambuzi kwa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…