Diamond Platinumz: Kwa nini nipo VEVO? Nasaha kwa wasanii

Ishu siyo kuwa VEVO, ishu ni namna gani hao VEVO wanapromote kazi za msanii. Je ulishawahi kuona VEVO wamepost kazi za Vanessa, Alikiba au hata Rose Muhando? If hujui, hata Alikiba yupo VEVO, angalia kazi yake ya Aje remix. Alichoandika Diamond si kukuza mambo, bali kuwafumbua macho wasanii kwamba wasiingie mikataba kichwa kichwa bila kutathmini au kuhakisha hiyo mikataba inawafaidisha pande zote mbili.
Kwahyo diamond ndo msomi pekee tz?
 
Mkuu ukisoma vyema maelezo ya Diamond utamuelewa. Hakatai watu kuwepo VEVO, bali uwepo wao VEVO uwe na faida kwa pande zote mbili, kwamba msanii afaidike na pia VEVO wafaidike. Katika hilo maana yake ni jukumu la kila upande kuipromote nyimbo. Sio jukumu aachiwe msanii peke yake wakati faida wanapata wote. Ndio maana kama umegundua, VEVO wamekuwa msatari wa mbele kuupromote huu wimbo wa Diamond kwa sababu makataba wao unawataka hivyo. Ni kama ilivyo kwa mkataba wa Universal Music Group.
Diamond ana akili sana!
 
Ishu siyo kuwa VEVO, ishu ni namna gani hao VEVO wanapromote kazi za msanii. Je ulishawahi kuona VEVO wamepost kazi za Vanessa, Alikiba au hata Rose Muhando? If hujui, hata Alikiba yupo VEVO, angalia kazi yake ya Aje remix. Alichoandika Diamond si kukuza mambo, bali kuwafumbua macho wasanii kwamba wasiingie mikataba kichwa kichwa bila kutathmini au kuhakisha hiyo mikataba inawafaidisha pande zote mbili.
Unaamini vipi kuwa vevo ya alikiba ni fake? kumbuka hiyo aje remix imetoka wiki hii,
Wameingizwa pamoja na diamond kwenye hyo acc kwa nini unaamini ya kiba ni fake na ya huyo ni original?
 
Muwe mnasoma vitu mkaelewa daaaah. Mbona mnapenda sana kupindisha mambo. Kuna mahali nimesema VEVO ya alikiba ni fake?
 
Kwa hizo comment zenu zinadhihirisha hicho, as if kama huyu ndo mr perferct kuliko wengine kuliko wengine anaijua hela kuliko wengine anajitambua kuliko wengine
 
mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya.
Kunatofauti kuna msanii yupo sababu anatafuta kiki mwengine yupo kibiashara
 
Ahsante mr "Genius, a most intelligent one", bado nimeshindwa kuelewa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Sasa umeeona vevo walikua wanahitangaza kwenye kurasa zao za social media kama diamond
 
Kwa hizo comment zenu zinadhihirisha hicho, as if kama huyu ndo mr perferct kuliko wengine kuliko wengine anaijua hela kuliko wengine anajitambua kuliko wengine
Nimejaribu kuwaambia kuwa pamoja na kuwa diamond anatoa ushauri kuna nia 'fichi' ndani yake,like kuonesha kuwa 'sio wote walioko [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG] wanafaidika ama wako kihalali ,wengine wako ili kupata jina ama ujiko na hawafaidiki kama yeye',ukisoma post ya diamond utamwelewa vizuri.
Na hii imekuja probably baada ya Alikiba kujiunga [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG],maana kwenye post kuna vijembe na mwenyewe diamond alijua kuwa ameweka vimajungu Fulani kwenye post yake,na ndio maana akajihami kwa kusema'kama kuna niliyemkwaza anisamehe!!!!,huwezi omba msamaha from nowhere!
 
Naona ww tumeongea lugha moja, kuja mijitu kila anachosema diamond wao kwao hewala na masifa juu,
Ila jamaa mswahili sanaaa yaani
Ninachomkubali kiba hashindani nae, yy ndo anahangaika hataki mtu ampite wala amsogelee
 
Vanessa Mdee Ana account ya Vevo toka mwaka 2014 huko Huyu jamaa kajiunga juzi na kishaanza kuwatoa akili aliyowakuta.

Anataka ionekanae yeye ndio anapata hela nyingi kuliko wenzie kama kweli alikuwa mtoa ushauri mbona hakushauri yeye alitumia njia gani ili wanzie wafanye hivyo pia
 
HAahha anasema za wenzie ni kanjanja ya kwake ndo halali,
najiuliza asingeimba na neyo angechukuliwa na hiyo site? kajamaa kana roho mbaya sana na kinachomuuma ni kwakuwa mwenzie anafanikiwa bila kutoa jasho tena bila promo,
 
sina uhakika kama naropoka na nimerudia kusoma lakini bado nashangaa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
vanessa yupo vevo sawa,lakn anufaiki km diamond kwa sabab1)vanessa alipelekwa na madalal au alijipeleka.
2)diamond walimfuata wenyewe vevo,ndio maana hata promo wanalazmika kumfanyia.
hata leo hii waulize vevo kati ya diamond na vanessa nani wamemlipa hela nying, watakuambia mond.
 
Naona ww tumeongea lugha moja, kuja mijitu kila anachosema diamond wao kwao hewala na masifa juu,
Ila jamaa mswahili sanaaa yaani
Ninachomkubali kiba hashindani nae, yy ndo anahangaika hataki mtu ampite wala amsogelee
kwanza ck hz mtu kutoa ushaur ni uswahil?pay per view umewah kuifanya?au umezoea youtube bure.?
 
HAahha anasema za wenzie ni kanjanja ya kwake ndo halali,
najiuliza asingeimba na neyo angechukuliwa na hiyo site? kajamaa kana roho mbaya sana na kinachomuuma ni kwakuwa mwenzie anafanikiwa bila kutoa jasho tena bila promo,
Hahahaaa povu linavokutoka kwa mafanikio yapi hayo ebu twambie mafanikio ya boss wako
 
kwanza ck hz mtu kutoa ushaur ni uswahil?pay per view umewah kuifanya?au umezoea youtube bure.?
Hao washachanganyikiwa show zao south zimedoda so hasira wanazimalizia kwa mond......mara ngapi kiba anampiga vijembe domo tena live kabisa lkn huwa hawaoni katoa ushauri imekuwa anampiga vujembe kiba kama kiba ndo yupo vevo peke yake apa bongo.....kuna clip moja kiba anahojiwa cjui alikuwa Dodoma unapiga vijembe live kwa mond lkn cjawai ona mond akijisumbua amefokasi na kazi zake

Mara oooh mm nimetoboa Africa bila kiki nimetoboa international bila collabo yaani unaona kabisa mtu anam attack mwenzie live.....Mara chai jaba....yaani vijembe vng tu lkn mond wala hata hana tym na mwaka huu kiki hampat ng'oooo mtaongea sana..!!
 
Vanessa Mdee Ana account ya Vevo toka mwaka 2014 huko Huyu jamaa kajiunga juzi na kishaanza kuwatoa akili aliyowakuta.

Anataka ionekanae yeye ndio anapata hela nyingi kuliko wenzie kama kweli alikuwa mtoa ushauri mbona hakushauri yeye alitumia njia gani ili wanzie wafanye hivyo pia
watu hawaelewi ama hawamjui diamond!diamond anatamani awe pekeyake [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG],ila kwa bahati mbaya kuna waliomtangulia,sasa anajaribu kuonesha kuwa 'pamoja na kuwa wenngine wapi [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG],kuna kautofauti kidogo kati yake na wao,yeye ametumia njia halali (sio za kidali),na anapata faida na siyo (kiki mtaani ama ujiko)!!
 
Vanessa Mdee Ana account ya Vevo toka mwaka 2014 huko Huyu jamaa kajiunga juzi na kishaanza kuwatoa akili aliyowakuta.

Anataka ionekanae yeye ndio anapata hela nyingi kuliko wenzie kama kweli alikuwa mtoa ushauri mbona hakushauri yeye alitumia njia gani ili wanzie wafanye hivyo pia
Haya wahi kapange foleni Tabata upate buku 5 yako
 
Back
Top Bottom