Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao VEVO wamepost kazi ya diamond siku gani? ?una uhakika gani hao uliowataja nao hawatapostiwa na VEVO? ?Ishu siyo kuwa VEVO, ishu ni namna gani hao VEVO wanapromote kazi za msanii. Je ulishawahi kuona VEVO wamepost kazi za Vanessa, Alikiba au hata Rose Muhando? If hujui, hata Alikiba yupo VEVO, angalia kazi yake ya Aje remix. Alichoandika Diamond si kukuza mambo, bali kuwafumbua macho wasanii kwamba wasiingie mikataba kichwa kichwa bila kutathmini au kuhakisha hiyo mikataba inawafaidisha pande zote mbili.
We jamaa Inawezekana Sio MzimaHao VEVO wamepost kazi ya diamond siku gani? ?una uhakika gani hao uliowataja nao hawatapostiwa na VEVO? ?
Umeelewa nimeuliza nini? ?We jamaa Inawezekana Sio Mzima
Kwani a/c za VEVO so zipo wazi nenda basis kaangalie ujifunze mkuuHao VEVO wamepost kazi ya diamond siku gani? ?una uhakika gani hao uliowataja nao hawatapostiwa na VEVO? ?
Kwa hyo VEVO hawatapost video za akna alikiba na Vanessa siku zijazo? ?mi nataka kujua tu hata wewe unaweza njibuKwani a/c za VEVO so zipo wazi nenda basis kaangalie ujifunze mkuu
Nenda twitter, Facebook au instagram in vitu ambavyo viko wazi
Ndio maana tunadai ndugu zetu walimu waongezewe maslahi imagine ndio una wanafunzi kama hawa 2 darasaniWe jamaa Inawezekana Sio Mzima
Yawezekana wengi tulikuwa tunajiuliza kwa nini Diamond Platinumz kauweka wimbo wake wa Marry You kwenye Youtube Channel mpya kabisa ya DiamondPlatnumzVEVO badala ile tuliyoizoea ambayo ipo verified ya Diamond Platnumz. Kupitia Instagram post, Diamond katolea maelezo na kutoa ushauri kwa wasanii wengine wanaotaka kujiunga na VEVO. Haya hapa chini ni maelezo yake.
“Kuna siku niliulizwa kwanini we haupo Vevo... Nikawambia: "uwepo wa msanii @VEVO anatakiwa msanii alipwe zaidi ya alivyokuwa analipwa kwenye Youtube channel ya kawaida.. Vevo wenyewe pia wamtambue kuwa kuna msanii anaitwa Nasibu Abdul aka Diamond toka Tandale, na pia anacholipwa msanii wa Marekani kwa view moja ama tangazo lolote liekwalo mwanzo ama lipitalo katikati pindi ya utazamaji wa video hyo basi nae anapaswa kulipwa hivyohivyo...na mbali tu ya kumlipa VEVO yapaswa kwa namna moja au nyingine kusaidia kupromote maana ni biashara yao wote na kila msanii ana shabiki zake na ukubwa na nafasi yake atokapo".....hivyo nikawambia: "siku mkiniona nipo vevo basi jua nimeyakamilisha haya, vinginevyo wacha niendee kuokota senti mbili tatu, kwenye chanel yangu ya Youtube kawaida....
SABABU YA KUYASEMA HAYA:
Ni kutaka kuwafahamisha ama kuwaamsha baadhi ya wasanii wenzangu watambue kuwa
Mziki wetu hata kama hauko mkubwa saaaana ulimwenguni, ila Mwenyez Mungu kausaidia kuufikisha sehem flani, hivo wasanii lazma tujitambue na Tuwe na Misimamo na kazi zetu, vilevike umakini kwenye maamuzi ama hatua yoyote tutayoichkua juu ya sanaa zetu kwa sasa, maana tuliamualo leo linaweza kutujenga ama kutubomoa baadae... nafaham wasanii wengi hawakuwa wakilifaham hilo na badala yake kuingia @VEVO kupitia watu kati ama madalali na kuambulia status mtaani kuwa wako @VEVO ilhali nyuma kuna watu wanawadhurumu mamilioni ya pesa zitokanazo na jasho lao..." kwa uchungu wa kufaham namna gani inauma msanii ukinyonywa kazi yake ndio umenifanya nilizungumze hili leo, ila ukiona kwa namna moja au nyingine nimekosea Tafadhali mnisameh... –SIMBA”
Diamond kajiunga juzi kwanin wanampost ? Ndo swali la msingi na Hawa waliojiunga kitambo kwanin hawakuwapost au hawajawapost hadi Leo ndo swali la msingi.Kwa hyo VEVO hawatapost video za akna alikiba na Vanessa siku zijazo? ?mi nataka kujua tu hata wewe unaweza njibu
we jamaa kumuelewesha chizi utajipa kazi. Wanaelew ila hawataki tu kuelewaDiamond kajiunga juzi kwanin wanampost ? Ndo swali la msingi na Hawa waliojiunga kitambo kwanin hawakuwapost au hawajawapost hadi Leo ndo swali la msingi.
Tofauti hapo ndo point ya msingi
Umeelew kwa makini Alicho andika Diamond au ulivyo Ona neno Vevo mbio mbio ukamkumbuka Vanessa? Alikuwa anaweka Wimbo vevo Malipo ilikuaje? Soma post kwanza ndo ucomment au kisa ni Diamond kasemambona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya.
Nani kalipwa kati ya vevo na mond msada tafadhaliHiyo ni advert and am sure VEVO wamemlipa for that posting..or Barter Trade..I post you, you post me.But hiyo in typical scripted advert
Kwasababu vanessa mdee alijunya na vevo lakini hakutoa taarifa stahili kama alivyofanya Diamonc binafsi nilikua sifahamu umuhimu wa kua Vevo na kua na akaunti ya youtube ya kawaida,,nilichofahamu ni kwamba ukiwa Vevo unalipwa pesa nyingi kwa mujibu alivyoandika Diamond sina uhakika...mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya.
Tena kasema kila msanii ana mashabiki wake yeye hata akiwa nao wa 3 basi alipwe kwa view 3 sawa na wamarekani mwenye view millioni 3Kwanini sasahivi? Jibu ni kwamba ukipitia a/c za VEVO za twitter na instagram utaona wanafanya Kazi ya kupromote wimbo wa marry you wa diamond ft neyo kote wamepost
Ndo maana diamond anakwambia kabla hajajiunga alitaka VEVO wenyewe watambue kina msanii wa Tanzania anaitwa diamond, hats kiwango cha pesa owe sawa na wasanii wa marekani per view,
Sasa sijui wewe hujaelewa wapi?
Kaona watu hawana habari anaanza kujiongelesha mwenyew utadhani kaulizwa, nini Vevo ? Hata mbunguni akitaka aende,watu tupo busy na habari za mama wema na steve nyerere,hatutoi kikiTatizo mnakimbilia kushangaa bila kuelewa kilichoandikwa.
Mtu gani usiyeelewa? Sisi hatukatai vanessa kuwa Vevo tangu zamani?sina uhakika kama naropoka na nimerudia kusoma lakini bado nashangaa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Umesoma alichoandika au umetanguliza fitna tuu????mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya.