Diamond Platinumz Mboga 7, Hereni na Kanzu?

Waonyeshe watanzania kuwa ametoka yale maisha duni ugali mkubwa fungu moja la dagaa hadi mboga saba kama draft....ni mafanikio makubwa sana kwa maisha ya watanzania wengi ambao hawana la kutegemea wala la kusubiria.....acha ajisifie na atambe ila asimsahau Mungu wake kushukuru na kutoa zaka na kusaidia wasio nacho!
 
Last edited by a moderator:

Umenena kinabaubaga bila mang'amung'amu yoyote
 
Mbona sioni ajabu ukizingatia hajavaa kanzu ya kuswalia..hilo bi bazee km la wanigeria..kwa raha zake
 

Umenena kinabaubaga bila mang'amung'amu yoyote
 
haya si kawaidaa...? au ndio sifa zenu kwetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…