Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba heaven on desert aje athibitishe hii picha kama ni halisi
Waonyeshe watanzania kuwa ametoka yale maisha duni ugali mkubwa fungu moja la dagaa hadi mboga saba kama draft....ni mafanikio makubwa sana kwa maisha ya watanzania wengi ambao hawana la kutegemea wala la kusubiria.....acha ajisifie na atambe ila asimsahau Mungu wake kushukuru na kutoa zaka na kusaidia wasio nacho!

Huyu Diamond kama anakula mboga 7 sisi inatuhusu nini?kama ana pesa angezichangisha na yeye aweze kumlipia faini mume wa Kajala
Naomba heaven on desert aje athibitishe hii picha kama ni halisi
heeeeeeeeee yamekua haya??????