Diamond Platinumz mtafutie shughuli nyingine Queen Darleen, amekuwa kituko na mchekeshaji, muziki hauwezi kabisa

Diamond Platinumz mtafutie shughuli nyingine Queen Darleen, amekuwa kituko na mchekeshaji, muziki hauwezi kabisa

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi.

Nikiwa kama mdau wa sanaa nimekuwa nikifatilia mwenendo wa Msanii Queen Doreen tangu aonekane ni mmoja wa wasanii ndani ya lebel ya WCB chini ya kaka yake Diamond Platinumz......
Queen Doreen kwakweli sio msanii kabisa hasa wakufanya muziki kwani toka nimfahamu sijawai kujua ni wimbo gani kutoka kwakwe ulishawai kufanikiwa....labda kama kuna wadau wanisaidie.....

Kimsingi kama ingekuwa ni uamuzi wa Babu Tale ni wazi asingelikubali Doreen kuwa kwenye lebel ya WCB kwani amekuwa ni kituko au vichekesho tuuu hajawai kuwa na impact yeyote kabisa.
Kuna wakati Babu Tale alishaulizwa kuhusu kumsajili msichana kwenye lebel ya WCB ,Tale alisema wana hitaji msichana ambaye anao uwezo mkubwa wa kuimba,kutunga ndio maana nasema Tale haamini kabisa kama Doreen ni asset bali ni hasara tuu.

Diamond bado unayo nafasi ya kukaa na ndugu yako Queen Doreen na kumuuliza akiondoa muziki ni kitu gani kingine anacho penda ambacho kinaweza kikaleta hela? Ukweli ni kwamba ni bora ukachukua hata million 50 ukampa akafnye shughuli nyingine pengine hata kilimo lakini kwenye muziki bado ataendelea kuwa mzigo hata akifanya collabo na nani kamwe hana kipaji wala uwezo wa kufanya shughuli za muziki au pengine mumtumie kuwapaka make up tuu....

Ukweli ni kwamba hata Show anazo tafutiwa ni lazima zitafutwe kwa majina ya wengine lakini si peke yake kwakuwa ni wazi kuwa hakuna promota wa kuwekeza pesa yake kwa Doreen peke yake halafu ategemee faida.......
Tunajua Queen Doreen ni ndugu yako kuna ugumu sana jinsi ya kumshauri lakini jaribu kumuonesha mfano wa kitu cha kufanya kuliko kupoteza muda kwenye muziki,mwambie amuige ndugu yako Esma....

Queen Doreen alianza kuimba enzi za zamani sana akiwa na Alikiba lakini aalishindwa ni wakati sasa wa kumwambia kuwa muziki haumtaki kuwa kwenye lebel kubwa yenye mameneja wengi na wenye ushawishi haitoshi kabisa kumfanya ang"are.

Ninachokiona kwa Queen Doreen ni kuwapaka make up WCB lakini si kuwa mwanamuziki.
Wasaalam
 
bbac94d15f2fa3e663697bb7eb7277b8.jpg
 
we. Fatalia Maisha yako mkuu haya maisha ya watu uyawez mzee baba....

queen darlin kwa mwez anauwezo wakuingiza 10 milion par month ambazo zinatokana na downloder na YouTube pia na show ....iyo ni minimum ...ila ukiangalia maximum zinazid ..sasa uoni kuwa unajichorosha kuja hapa kufatilia maisha..ya...watu..
 
Back
Top Bottom