Diamond Platinumz mtafutie shughuli nyingine Queen Darleen, amekuwa kituko na mchekeshaji, muziki hauwezi kabisa

Diamond Platinumz mtafutie shughuli nyingine Queen Darleen, amekuwa kituko na mchekeshaji, muziki hauwezi kabisa

we. Fatalia Maisha yako mkuu haya maisha ya watu uyawez mzee baba....

queen darlin kwa mwez anauwezo wakuingiza 10 milion par month ambazo zinatokana na downloder na YouTube pia na show ....iyo ni minimum ...ila ukiangalia maximum zinazid ..sasa uoni kuwa unajichorosha kuja hapa kufatilia maisha..ya...watu..
mkuu ndio wewe nini? maana huu uandishi ni shida
 
Wasalaam wana jamvi.

Nikiwa kama mdau wa sanaa nimekuwa nikifatilia mwenendo wa Msanii Queen Doreen tangu aonekane ni mmoja wa wasanii ndani ya lebel ya WCB chini ya kaka yake Diamond Platinumz......
Queen Doreen kwakweli sio msanii kabisa hasa wakufanya muziki kwani toka nimfahamu sijawai kujua ni wimbo gani kutoka kwakwe ulishawai kufanikiwa....labda kama kuna wadau wanisaidie.....

Kimsingi kama ingekuwa ni uamuzi wa Babu Tale ni wazi asingelikubali Doreen kuwa kwenye lebel ya WCB kwani amekuwa ni kituko au vichekesho tuuu hajawai kuwa na impact yeyote kabisa.
Kuna wakati Babu Tale alishaulizwa kuhusu kumsajili msichana kwenye lebel ya WCB ,Tale alisema wana hitaji msichana ambaye anao uwezo mkubwa wa kuimba,kutunga ndio maana nasema Tale haamini kabisa kama Doreen ni asset bali ni hasara tuu.

Diamond bado unayo nafasi ya kukaa na ndugu yako Queen Doreen na kumuuliza akiondoa muziki ni kitu gani kingine anacho penda ambacho kinaweza kikaleta hela? Ukweli ni kwamba ni bora ukachukua hata million 50 ukampa akafnye shughuli nyingine pengine hata kilimo lakini kwenye muziki bado ataendelea kuwa mzigo hata akifanya collabo na nani kamwe hana kipaji wala uwezo wa kufanya shughuli za muziki au pengine mumtumie kuwapaka make up tuu....

Ukweli ni kwamba hata Show anazo tafutiwa ni lazima zitafutwe kwa majina ya wengine lakini si peke yake kwakuwa ni wazi kuwa hakuna promota wa kuwekeza pesa yake kwa Doreen peke yake halafu ategemee faida.......
Tunajua Queen Doreen ni ndugu yako kuna ugumu sana jinsi ya kumshauri lakini jaribu kumuonesha mfano wa kitu cha kufanya kuliko kupoteza muda kwenye muziki,mwambie amuige ndugu yako Esma....

Queen Doreen alianza kuimba enzi za zamani sana akiwa na Alikiba lakini aalishindwa ni wakati sasa wa kumwambia kuwa muziki haumtaki kuwa kwenye lebel kubwa yenye mameneja wengi na wenye ushawishi haitoshi kabisa kumfanya ang"are.

Ninachokiona kwa Queen Doreen ni kuwapaka make up WCB lakini si kuwa mwanamuziki.
Wasaalam
Ha ha ha[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2]
 
we. Fatalia Maisha yako mkuu haya maisha ya watu uyawez mzee baba....

queen darlin kwa mwez anauwezo wakuingiza 10 milion par month ambazo zinatokana na downloder na YouTube pia na show ....iyo ni minimum ...ila ukiangalia maximum zinazid ..sasa uoni kuwa unajichorosha kuja hapa kufatilia maisha..ya...watu..
Par?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
'Maneno maneno sipendelei....[emoji445]
Mbona napokaa mie hamsogei....!♩'
Dooooh tumekutana tena ,ama kweli milima ndo haikutan ,ila chini ya jua hamna kinachoshindikana !!
5d992a722d596d7f283417d08748f495.jpg
Mie nko fresh sana ,sijui we?.
 
Mi siku hizi ananiboa uvaaji wake wa kuacha makalio nje hakua hivo, makalio yenyewe hayaeleweki yana rangi gani, kama vile meusi, tena kama kijivu..
 
Achana nae mzushi huyo.. kabla hata hiyo unanianda ambayo ndio imemtoa kiba huyo ndio mdada wa mwanzo mwanzo kbs kuimba chorus za wasanii w bongo fleva!!.. achana na zile salome za dully, hata ule uliowahi kuwa wimbo wa taifa GETI KALI huyo dada anasikika na ile sauti yake ya "inspekta sema basi unataka nini" ni dada aliyetoka mbali sana na bongo fleva..hata hao kina diamond wamethubutu kujaribu kuimba kwasababu ya kupata hamasa toka kwa huyo dada!! diamond ana kila sababu ya kumshikilia dada yake anajua alimtoa wapi na alimshawishi vipi hadi nae akathubutu kuimba.!! Mtu anaposema ampige chini dadaake kisa pale WCB kuna wamakonde flani wanajiita sijui hamo nini sijui malombo nini.. ni upuuzi uliopitiliza
alishiriki mpaka mtoto wa geti kali?...kumbe wa long time sana huyo darleen
 
Mi siku hizi ananiboa uvaaji wake wa kuacha makalio nje hakua hivo, makalio yenyewe hayaeleweki yana rangi gani, kama vile meusi, tena kama kijivu..[/QUOTE
hahah nilipo sema amekuwa kituko nilikuwa na maanisha haya uliyo yaandika....kwakweli ni aibu tupu
 
Achana nae mzushi huyo.. kabla hata hiyo unanianda ambayo ndio imemtoa kiba huyo ndio mdada wa mwanzo mwanzo kbs kuimba chorus za wasanii w bongo fleva!!.. achana na zile salome za dully, hata ule uliowahi kuwa wimbo wa taifa GETI KALI huyo dada anasikika na ile sauti yake ya "inspekta sema basi unataka nini" ni dada aliyetoka mbali sana na bongo fleva..hata hao kina diamond wamethubutu kujaribu kuimba kwasababu ya kupata hamasa toka kwa huyo dada!! diamond ana kila sababu ya kumshikilia dada yake anajua alimtoa wapi na alimshawishi vipi hadi nae akathubutu kuimba.!! Mtu anaposema ampige chini dadaake kisa pale WCB kuna wamakonde flani wanajiita sijui hamo nini sijui malombo nini.. ni upuuzi uliopitiliza
Hivi Queen Doreen alishawai kufika hata level ya kina Lina au Mwasiti?
Sasa hivi yuko kwenye level gani?
 
Lava lava na huyo queen wanalazimisha fani
Unajua soko la kupiga show kama linaenda kufa angalia youtube views uagalie wanapata kiasi gani
LAVALAVA - TUACHANE ( OFFICIAL VIDEO MUSIC ):
 
Hivi Queen Doreen alishawai kufika hata level ya kina Lina au Mwasiti?
Sasa hivi yuko kwenye level gani?

Dah sasa bro umesema huyo dada sio msanii kabisa ha deserve kuwa signed kwenye lebel, tunakuonyesha potential na uzoefu wake katika kazi unaleta ulinganifu na lina sanga!!.. ujue kwenye lebel huwa kuna wanaoibua ideas, watunzi, wakufunzi wa minenguo etc etc sasa wewe unataka kila anayekuwa signed kwenye lebel awe anaimba kama malomboso?
 
Huyu jamaa ni buku 7 wa Lumumba sijui km anajua muziki!
 
Queen darleen ana experience kubwa ya bongo fleva kuliko wote pale WCB... lazima awepo kusaidia kampuni... hata kwenye mpira ndio maana ibra cadabra yupo man utd... vijana bila kuwa na wazee wazoefu wanafeli..

mtoto wa geti kali mwaka 2001... dully anatoka nyimbo yake ya kwanza chorous kaipiga queen darleen... G record ndie alikuwa back queen nyimbo... new jack family kitambooo
 
alishiriki mpaka mtoto wa geti kali?...kumbe wa long time sana huyo darleen

Ni mtu mzima yule dada!! Nakumbuka alipigwa mimba kitambo sana kwenye ile miaka ya mwanzoni mwa 2000. Sasa unadhani mtoto wake ana miaka mingapi sasa kama sio 16 na kuendelea!!..
 
Back
Top Bottom