Diamond Platinumz mtafutie shughuli nyingine Queen Darleen, amekuwa kituko na mchekeshaji, muziki hauwezi kabisa

Diamond Platinumz mtafutie shughuli nyingine Queen Darleen, amekuwa kituko na mchekeshaji, muziki hauwezi kabisa

Dah sasa bro umesema huyo dada sio msanii kabisa ha deserve kuwa signed kwenye lebel, tunakuonyesha potential na uzoefu wake katika kazi unaleta ulinganifu na lina sanga!!.. ujue kwenye lebel huwa kuna wanaoibua ideas, watunzi, wakufunzi wa minenguo etc etc sasa wewe unataka kila anayekuwa signed kwenye lebel awe anaimba kama malomboso?
Hivi toka awe hapo WCB ni wimbo gani ameshafanikiwa kuutoa ukakubalika na ukapata hadhi ya ku hit? Hivi amefanikiwa nini hapo pamoja na jitihada za kumsaidia kupitia wenzie?
Ninachoona kwa sasa ni kuvaa nguo za ajabu tuuu na kupiga kelele akiwa anaimba.....
 
Queen darleen ana experience kubwa ya bongo fleva kuliko wote pale WCB... lazima awepo kusaidia kampuni... hata kwenye mpira ndio maana ibra cadabra yupo man utd... vijana bila kuwa na wazee wazoefu wanafeli..

mtoto wa geti kali mwaka 2001... dully anatoka nyimbo yake ya kwanza chorous kaipiga queen darleen... G record ndie alikuwa back queen nyimbo... new jack family kitambooo
Anaweza akawasaidia kwa hiyo experience lakini si kwa yeye kuimba...labda afanye shughuli nyingine kabisa
 
Queen darleen ana experience kubwa ya bongo fleva kuliko wote pale WCB... lazima awepo kusaidia kampuni... hata kwenye mpira ndio maana ibra cadabra yupo man utd... vijana bila kuwa na wazee wazoefu wanafeli..

mtoto wa geti kali mwaka 2001... dully anatoka nyimbo yake ya kwanza chorous kaipiga queen darleen... G record ndie alikuwa back queen nyimbo... new jack family kitambooo

Unaitaja New jack family sijui kama jamaa atakuelewa!! Vijana walisota sana pale round about kariakoo na G lover wao mpaka Wakaja kufungua studio ya G records!!..kina queen ndio waasisi wa studio na lebel ile iliyokuja kuwatoa kina bluu, kiba Abby Skills na matonya!! Kipindi hicho kina diamond walikua wanaenda kuchungulia tu kuona kina Darleen wanafanya nini studio!! eti leo mtu anahoji why queen Darleen awe signed WCB? .
 
Wasalaam wana jamvi.

Nikiwa kama mdau wa sanaa nimekuwa nikifatilia mwenendo wa Msanii Queen Doreen tangu aonekane ni mmoja wa wasanii ndani ya lebel ya WCB chini ya kaka yake Diamond Platinumz......
Queen Doreen kwakweli sio msanii kabisa hasa wakufanya muziki kwani toka nimfahamu sijawai kujua ni wimbo gani kutoka kwakwe ulishawai kufanikiwa....labda kama kuna wadau wanisaidie.....

Kimsingi kama ingekuwa ni uamuzi wa Babu Tale ni wazi asingelikubali Doreen kuwa kwenye lebel ya WCB kwani amekuwa ni kituko au vichekesho tuuu hajawai kuwa na impact yeyote kabisa.
Kuna wakati Babu Tale alishaulizwa kuhusu kumsajili msichana kwenye lebel ya WCB ,Tale alisema wana hitaji msichana ambaye anao uwezo mkubwa wa kuimba,kutunga ndio maana nasema Tale haamini kabisa kama Doreen ni asset bali ni hasara tuu.

Diamond bado unayo nafasi ya kukaa na ndugu yako Queen Doreen na kumuuliza akiondoa muziki ni kitu gani kingine anacho penda ambacho kinaweza kikaleta hela? Ukweli ni kwamba ni bora ukachukua hata million 50 ukampa akafnye shughuli nyingine pengine hata kilimo lakini kwenye muziki bado ataendelea kuwa mzigo hata akifanya collabo na nani kamwe hana kipaji wala uwezo wa kufanya shughuli za muziki au pengine mumtumie kuwapaka make up tuu....

Ukweli ni kwamba hata Show anazo tafutiwa ni lazima zitafutwe kwa majina ya wengine lakini si peke yake kwakuwa ni wazi kuwa hakuna promota wa kuwekeza pesa yake kwa Doreen peke yake halafu ategemee faida.......
Tunajua Queen Doreen ni ndugu yako kuna ugumu sana jinsi ya kumshauri lakini jaribu kumuonesha mfano wa kitu cha kufanya kuliko kupoteza muda kwenye muziki,mwambie amuige ndugu yako Esma....

Queen Doreen alianza kuimba enzi za zamani sana akiwa na Alikiba lakini aalishindwa ni wakati sasa wa kumwambia kuwa muziki haumtaki kuwa kwenye lebel kubwa yenye mameneja wengi na wenye ushawishi haitoshi kabisa kumfanya ang"are.

Ninachokiona kwa Queen Doreen ni kuwapaka make up WCB lakini si kuwa mwanamuziki.
Wasaalam
Kwann wewe usiachane na kupiga poyoyo za ccm oyeee,ukaenda kudaka Senene????
 
Kweli mkuu,simpendi huyu Dada,kuimba halijui,lina mwili wa broiler,sura mbaya,makalio mabayaaa meusi na hata hayatamanishi,kutwa kucha kuyaanika kwenye vikamera vya akina Salaam.

Kama vipi Queen Darling angekuwa secretary wa Zari mana namuona akili bogaz kabisa.
 
Nafikiri Lavalava at least mwanga unaonekana na anaweza kukushawishi umpe muda
Hakika. Queen Darleen hawezi muziki kabisa. Analazimisha mnoooo kuimba. Juzi kati kwenye tamasha la kukaribisha wanavyuo lililoandaliwa pale Mlimani City na Makonda na kurushwa live na baadhi ya vituo vya tv, aliimba na wanafunzi wakawa hawachezi, hawamchangamkii wala kuchangilia. Alimaindi na kutishia kushuka jukwaani!
 
Queen Darleen wazamani sana enzi za New Jack Family, Enzi za kina Taqwa-kifo cha mpenzi, Mad Max - Vitu Adim late 90's na early 00's era......Hapo hakuna kiba wala Diamond.

Dah long time Taqwa sijui yupo wapi.. na mzee wa kipande cha ndim mad max wa magorofani pale lumumba. kina Zahrani, BJB aka clap clap..those were the days!..
 
...washamba mnapojifanyaga wachambuzi koko!
..wewe ungekuwa karibu ningekupiga bonge la mdoleeee,
.upate mimba ya kucha!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaogopa popo bawa mkuu!!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa Mkuu popo bawa wamejbadlsha wamekua watu siku hizi
bbac94d15f2fa3e663697bb7eb7277b8.jpg
 
Back
Top Bottom