Mkuu hili ni jukwaa maalum kwaajili ya kuwaongelea hao..................we. Fatalia Maisha yako mkuu haya maisha ya watu uyawez mzee baba....
queen darlin kwa mwez anauwezo wakuingiza 10 milion par month ambazo zinatokana na downloder na YouTube pia na show ....iyo ni minimum ...ila ukiangalia maximum zinazid ..sasa uoni kuwa unajichorosha kuja hapa kufatilia maisha..ya...watu..
KvpChips mayai lazima zigeuzwe
Sio lazima ushakutana na kitu kinaitwa jicho la ng'ombe mkuuChips mayai lazima zigeuzwe
Mbona huyo dada alishakua maarufu tu kabla diamond kujulikana single yake ya kwanza alimshirikisha ali kiba inaitwa wajua wanipenda ma ilipata umaarufu tu
Ila mtoa mada huijui game b.flavor
Na yule mzee wa matunguli je?Babu Tale pale ni kibarua tu, kazi yake ni kubeba mabegi ya Diamond. Kwahiyo hawezi kuongea chochote kuhusu msanii
Atakua leveleve!acha masihara ww....lava lava???
Wasalaam wana jamvi.
Nikiwa kama mdau wa sanaa nimekuwa nikifatilia mwenendo wa Msanii Queen Doreen tangu aonekane ni mmoja wa wasanii ndani ya lebel ya WCB chini ya kaka yake Diamond Platinumz......
Queen Doreen kwakweli sio msanii kabisa hasa wakufanya muziki kwani toka nimfahamu sijawai kujua ni wimbo gani kutoka kwakwe ulishawai kufanikiwa....labda kama kuna wadau wanisaidie.....
Kimsingi kama ingekuwa ni uamuzi wa Babu Tale ni wazi asingelikubali Doreen kuwa kwenye lebel ya WCB kwani amekuwa ni kituko au vichekesho tuuu hajawai kuwa na impact yeyote kabisa.
Kuna wakati Babu Tale alishaulizwa kuhusu kumsajili msichana kwenye lebel ya WCB ,Tale alisema wana hitaji msichana ambaye anao uwezo mkubwa wa kuimba,kutunga ndio maana nasema Tale haamini kabisa kama Doreen ni asset bali ni hasara tuu.
Diamond bado unayo nafasi ya kukaa na ndugu yako Queen Doreen na kumuuliza akiondoa muziki ni kitu gani kingine anacho penda ambacho kinaweza kikaleta hela? Ukweli ni kwamba ni bora ukachukua hata million 50 ukampa akafnye shughuli nyingine pengine hata kilimo lakini kwenye muziki bado ataendelea kuwa mzigo hata akifanya collabo na nani kamwe hana kipaji wala uwezo wa kufanya shughuli za muziki au pengine mumtumie kuwapaka make up tuu....
Ukweli ni kwamba hata Show anazo tafutiwa ni lazima zitafutwe kwa majina ya wengine lakini si peke yake kwakuwa ni wazi kuwa hakuna promota wa kuwekeza pesa yake kwa Doreen peke yake halafu ategemee faida.......
Tunajua Queen Doreen ni ndugu yako kuna ugumu sana jinsi ya kumshauri lakini jaribu kumuonesha mfano wa kitu cha kufanya kuliko kupoteza muda kwenye muziki,mwambie amuige ndugu yako Esma....
Queen Doreen alianza kuimba enzi za zamani sana akiwa na Alikiba lakini aalishindwa ni wakati sasa wa kumwambia kuwa muziki haumtaki kuwa kwenye lebel kubwa yenye mameneja wengi na wenye ushawishi haitoshi kabisa kumfanya ang"are.
Ninachokiona kwa Queen Doreen ni kuwapaka make up WCB lakini si kuwa mwanamuziki.
Wasaalam
sidhani km vyema kumkashifu binadamu kwa umbo lake.Na kalio lake jeusi
Kama pelege tuChips mayai lazima zigeuzwe
Queen Darleen wazamani sana enzi za New Jack Family, Enzi za kina Taqwa-kifo cha mpenzi, Mad Max - Vitu Adim late 90's na early 00's era......Hapo hakuna kiba wala Diamond.Achana nae mzushi huyo.. kabla hata hiyo unanianda ambayo ndio imemtoa kiba huyo ndio mdada wa mwanzo mwanzo kbs kuimba chorus za wasanii w bongo fleva!!.. achana na zile salome za dully, hata ule uliowahi kuwa wimbo wa taifa GETI KALI huyo dada anasikika na ile sauti yake ya "inspekta sema basi unataka nini" ni dada aliyetoka mbali sana na bongo fleva..hata hao kina diamond wamethubutu kujaribu kuimba kwasababu ya kupata hamasa toka kwa huyo dada!! diamond ana kila sababu ya kumshikilia dada yake anajua alimtoa wapi na alimshawishi vipi hadi nae akathubutu kuimba.!! Mtu anaposema ampige chini dadaake kisa pale WCB kuna wamakonde flani wanajiita sijui hamo nini sijui malombo nini.. ni upuuzi uliopitiliza
Hivi si aliwahi kuwa Dar Skendo huyu, ama ni Dorleen mwingine?Queen Darleen wazamani sana enzi za New Jack Family, Enzi za kina Taqwa-kifo cha mpenzi, Mad Max - Vitu Adim late 90's na early 00's era......Hapo hakuna kiba wala Diamond.