Diamond Platinumz mtafutie shughuli nyingine Queen Darleen, amekuwa kituko na mchekeshaji, muziki hauwezi kabisa

Hivi toka awe hapo WCB ni wimbo gani ameshafanikiwa kuutoa ukakubalika na ukapata hadhi ya ku hit? Hivi amefanikiwa nini hapo pamoja na jitihada za kumsaidia kupitia wenzie?
Ninachoona kwa sasa ni kuvaa nguo za ajabu tuuu na kupiga kelele akiwa anaimba.....
 
Anaweza akawasaidia kwa hiyo experience lakini si kwa yeye kuimba...labda afanye shughuli nyingine kabisa
 

Unaitaja New jack family sijui kama jamaa atakuelewa!! Vijana walisota sana pale round about kariakoo na G lover wao mpaka Wakaja kufungua studio ya G records!!..kina queen ndio waasisi wa studio na lebel ile iliyokuja kuwatoa kina bluu, kiba Abby Skills na matonya!! Kipindi hicho kina diamond walikua wanaenda kuchungulia tu kuona kina Darleen wanafanya nini studio!! eti leo mtu anahoji why queen Darleen awe signed WCB? .
 
Kwann wewe usiachane na kupiga poyoyo za ccm oyeee,ukaenda kudaka Senene????
 
Kweli mkuu,simpendi huyu Dada,kuimba halijui,lina mwili wa broiler,sura mbaya,makalio mabayaaa meusi na hata hayatamanishi,kutwa kucha kuyaanika kwenye vikamera vya akina Salaam.

Kama vipi Queen Darling angekuwa secretary wa Zari mana namuona akili bogaz kabisa.
 
Nafikiri Lavalava at least mwanga unaonekana na anaweza kukushawishi umpe muda
Hakika. Queen Darleen hawezi muziki kabisa. Analazimisha mnoooo kuimba. Juzi kati kwenye tamasha la kukaribisha wanavyuo lililoandaliwa pale Mlimani City na Makonda na kurushwa live na baadhi ya vituo vya tv, aliimba na wanafunzi wakawa hawachezi, hawamchangamkii wala kuchangilia. Alimaindi na kutishia kushuka jukwaani!
 
Queen Darleen wazamani sana enzi za New Jack Family, Enzi za kina Taqwa-kifo cha mpenzi, Mad Max - Vitu Adim late 90's na early 00's era......Hapo hakuna kiba wala Diamond.

Dah long time Taqwa sijui yupo wapi.. na mzee wa kipande cha ndim mad max wa magorofani pale lumumba. kina Zahrani, BJB aka clap clap..those were the days!..
 
...washamba mnapojifanyaga wachambuzi koko!
..wewe ungekuwa karibu ningekupiga bonge la mdoleeee,
.upate mimba ya kucha!
 
Huwa ananifurahisha na style yake ya kuvaa kama yokozuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…