Tetesi: Diamond Platinumz na Mhariri Mkuu wa Wasafi huenda wakaitwa mbele ya TCRA au kizimbani kwa kukiuka sheria ya takwimu

Hakuna kesi hapo......hizo ni kauli tu za biashara.......kifupi jamaa wanapigia debe radio yao
 
Hata hivyo...
 
Technically hawajasema namba moja kwenye nini! Labda namba moja kwenye ujinga
 
Nimekaona ka Jenifer Kanumba tu hapo.. Inaonyesha kanampenda sana Simba..
 
Hakuna kesi apo izo ni lugha za kibishara, Kwahiyo kina Pepsi au Voda nao washikwe sio
 
umekuru9uka!!
 
Kusikiliza na kuangalia ONLINE ni WORLDWIDE , usikariri mkuu
Online wanaangalia wangapi mpk iwe namba 1 mkuu???yn ishinde radio za masafa ya kawaida kweli???mambo ya online ni sisi huku wa mjini tu lkn sio wa huko mwanarumango
 
Online wanaangalia wangapi mpk iwe namba 1 mkuu???yn ishinde radio za masafa ya kawaida kweli???mambo ya online ni sisi huku wa mjini tu lkn sio wa huko mwanarumango
Unajua kuwa wasafi walipewa tuzo na YOUTUBE? unafikiri kwanini wapewe wao wachanga na wakongwe wasipewe ? Mkuu Diamond amewekeza sana kwenye Digital platform trust me
 
This thread is totally nonsense!!
 
Tangu vijana wamalize form six kumekuwa na mada za kipuuzi sana hapa jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…