Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo...Wasalaam wana jamvi!
Msanii Diamond Platinumz na muhariri mkuu wa wasafi media uenda wakaingia matatani kwa kudaiwa kukiuka sheria ya takwimu na ile sheria ya habari zinazo kataza chombo cha habari kutoa takwimu bila kuwa na kibali au kuonesha chanzo cha takwimu hizo!
Hata hivyo sheria inataka chombo au mtu anayetaka kutoa au kutangaza takwimu alizozifanya au kuzichakata kuzipeleka ofisi ya taifa ya takwimu ili zithibitishwe au kuidhinishwa uhalisia wake kabla ya kwenda kwa wanachi!
Hata hivyo sheria inzitaka Kampuni au mashirika yanayo taka kukusanya takwimu kuwa na kibali cha kufanya hivyo! Kinyume na hapo ni kosa kisheria
Hata hivyo hayo yamejiri baada ya Wasafi media na Mmiliki wake kujitangaza kuwa wao ni radio namba moja nchini bila kueleza chanzo cha takwimu hizo na chombo kilicho fanya utafiti huo
Sheria ya takwimu na ile ya habari inazuia utoaji holela wa takwimu ili kulinda jamii na pia kulinda misingi ya biashara na kuepuka utoaji wa takwimu za uongo!
Ikumbukwe Wasafi Fm imeanzishwa miaka miwili tuu na inasikika Dare-es-salaam
WasalaamView attachment 1500096
View attachment 1500097
View attachment 1500098
Technically hawajasema namba moja kwenye nini! Labda namba moja kwenye ujinga
AiseeVp kwanza KK security washawalipeni[emoji3]
kingkibakuliKwani Namba1 ni nani?
umekuru9uka!!Wasalaam wana jamvi!
Msanii Diamond Platinumz na muhariri mkuu wa wasafi media uenda wakaingia matatani kwa kudaiwa kukiuka sheria ya takwimu na ile sheria ya habari zinazo kataza chombo cha habari kutoa takwimu bila kuwa na kibali au kuonesha chanzo cha takwimu hizo!
Hata hivyo sheria inataka chombo au mtu anayetaka kutoa au kutangaza takwimu alizozifanya au kuzichakata kuzipeleka ofisi ya taifa ya takwimu ili zithibitishwe au kuidhinishwa uhalisia wake kabla ya kwenda kwa wanachi!
Hata hivyo sheria inzitaka Kampuni au mashirika yanayotaka kukusanya takwimu kuwa na kibali cha kufanya hivyo! Kinyume na hapo ni kosa kisheria
Hata hivyo hayo yamejiri baada ya Wasafi media na Mmiliki wake kujitangaza kuwa wao ni radio namba moja nchini bila kueleza chanzo cha takwimu hizo na chombo kilicho fanya utafiti huo
Sheria ya takwimu na ile ya habari inazuia utoaji holela wa takwimu ili kulinda jamii na pia kulinda misingi ya biashara na kuepuka utoaji wa takwimu za uongo!
Ikumbukwe Wasafi Fm imeanzishwa miaka miwili tuu na inasikika Dare-es-salaam
WasalaamView attachment 1500096
View attachment 1500097
View attachment 1500098
Kusikiliza na kuangalia ONLINE ni WORLDWIDE , usikariri mkuuRadio inayosikika Dsm tu inakua namba 1 tz nzima????
Online wanaangalia wangapi mpk iwe namba 1 mkuu???yn ishinde radio za masafa ya kawaida kweli???mambo ya online ni sisi huku wa mjini tu lkn sio wa huko mwanarumangoKusikiliza na kuangalia ONLINE ni WORLDWIDE , usikariri mkuu
Unajua kuwa wasafi walipewa tuzo na YOUTUBE? unafikiri kwanini wapewe wao wachanga na wakongwe wasipewe ? Mkuu Diamond amewekeza sana kwenye Digital platform trust meOnline wanaangalia wangapi mpk iwe namba 1 mkuu???yn ishinde radio za masafa ya kawaida kweli???mambo ya online ni sisi huku wa mjini tu lkn sio wa huko mwanarumango