talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
Moja kati ya features za lugha ya biashara ni kutumia lugha yenye mvuto like "radio namba moja tz" "mtandao unaoongoza tz" "chaguo la watu" "mpaka basi" "longa mpaka kuche" n.k....na sifa nyengine ni kutumia lugha kimakosa ili kuleta mvuto pia eg. "kwality centre" badala ya "quality centre"