Diamond platinumz ni THE G. O. A. T

Diamond platinumz ni THE G. O. A. T

nikutokana na mapokezi yake makubwa kigoma, ambapo alikiba mzee awezi fikia.

Maana alikiba wameudhuria watu hata 100 hawajafika, huku diamond walikuwa zaidi ya 10000,na kuandika historia kubwa.

Kwahiyi Kama wanajamvi kwenye jukwaa la celebrities tumeamua kwa moyo mmoja kumpitisha DIAMOND kuwa the GOAT.

Sina timu ila ni fan wa mziki mzuri,na atkae ongea fyongo anakula block na ban juu.

Povu kafukie sabuni
Matumizi Mabovu ya ubongo hayawezi kusaidia kuongoza Taifa lenye malengo chanya katika maendeleo.
 
a

Ukikosa hoja jaribu kukaa kimya nayo ni hoja nzuri tu, sio kujaribu kutengeneza uzi ilimradi upostiwe na Mods. Dogo??[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji706][emoji706][emoji706]
Kalale kwani umeitwa?
 
Back
Top Bottom