Brutal truth, NO. Recognition yake bado haijaifikia 'A' list. We pray for him to get there..!Kumbe hajakua bado oky
Kwa kweli hapa ndio atapata la kukazania [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gud
Hiv lile pendekezo la muheshimiwa hakijafanyiwa kaz bado!!?
HahahaKwa kweli hapa ndio atapata la kukazania [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sanamu la posta litolewe awekwe yeye nchi hiiSo from there ndiyo tuwe na mnara kwa ajili ya kumbukumbu yake au..?
Tayari Mkuu wanamalizia kumuweka miguu hilo statue lakeGud
Hiv lile pendekezo la muheshimiwa hakijafanyiwa kaz bado!!?
HahahaTayari Mkuu wanamalizia kumuweka miguu hilo statue lake
Sasa si tuna vijana wawili washindani huyu mwingine mbona wana msahau sana wajameni, utasema ana piga ngoma za kienyeji dah!Ile channel maarufu ulimwenguni kwa habari moto moto za wasanii wakubwa Marekani E! kinatarajia kumuonyesha Diamond Platinumz na wasanii wengine wakubwa wa Africa kama Mafikizolo, Wizkid, D'banj n.k. katika kipindi maalum cha E! VIP
Kipindi hicho tayari kinaonekana kipo hot! Na kimeanza kutangazwa kama kitaonyeshwa hivi karibuni.
Once again kijana wetu kutoka Tanzania anatuwakilisha kwenye anga za kimataifa. Hii ni habari njema ambayo itasaidia kukuza jina la nchi yetu na wasanii wetu.
Hongera sana kijana wetu Diamond Platinumz, Mungu akutangulie na uzidi kukua!!
Mmmmh! No comment!Sasa si tuna vijana wawili washindani huyu mwingine mbona wana msahau sana wajameni, utasema ana piga ngoma za kienyeji dah!
Hilo nalo neno..!Nyota yake inang'aa hadi inaumiza macho.....
Sanamu la posta litolewe awekwe yeye nchi Ina vilaza hii
As opposed to who in tz maybe?Brutal truth, NO. Recognition yake bado haijaifikia 'A' list. We pray for him to get there..!