Diamond Platinumz on Channel E!

Diamond Platinumz on Channel E!

Luv4ril

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
125
Reaction score
78
Ile channel maarufu ulimwenguni kwa habari moto moto za wasanii wakubwa Marekani E! kinatarajia kumuonyesha Diamond Platinumz na wasanii wengine wakubwa wa Africa kama Mafikizolo, Wizkid, D'banj n.k. katika kipindi maalum cha E! VIP

Kipindi hicho tayari kinaonekana kipo hot! Na kimeanza kutangazwa kama kitaonyeshwa hivi karibuni.

Once again kijana wetu kutoka Tanzania anatuwakilisha kwenye anga za kimataifa. Hii ni habari njema ambayo itasaidia kukuza jina la nchi yetu na wasanii wetu.

Hongera sana kijana wetu Diamond Platinumz, Mungu akutangulie na uzidi kukua!!
 
So from there ndiyo tuwe na mnara kwa ajili ya kumbukumbu yake au..?
 
Gud
Hiv lile pendekezo la muheshimiwa hakijafanyiwa kaz bado!!?
 
So from there ndiyo tuwe na mnara kwa ajili ya kumbukumbu yake au..?
Sanamu la posta litolewe awekwe yeye nchi hii
d90209a04fb385e44c26ba2469c389e3.jpg
 
Ile channel maarufu ulimwenguni kwa habari moto moto za wasanii wakubwa Marekani E! kinatarajia kumuonyesha Diamond Platinumz na wasanii wengine wakubwa wa Africa kama Mafikizolo, Wizkid, D'banj n.k. katika kipindi maalum cha E! VIP

Kipindi hicho tayari kinaonekana kipo hot! Na kimeanza kutangazwa kama kitaonyeshwa hivi karibuni.

Once again kijana wetu kutoka Tanzania anatuwakilisha kwenye anga za kimataifa. Hii ni habari njema ambayo itasaidia kukuza jina la nchi yetu na wasanii wetu.

Hongera sana kijana wetu Diamond Platinumz, Mungu akutangulie na uzidi kukua!!
Sasa si tuna vijana wawili washindani huyu mwingine mbona wana msahau sana wajameni, utasema ana piga ngoma za kienyeji dah!
 
Back
Top Bottom