Ile channel maarufu ulimwenguni kwa habari moto moto za wasanii wakubwa Marekani E! kinatarajia kumuonyesha Diamond Platinumz na wasanii wengine wakubwa wa Africa kama Mafikizolo, Wizkid, D'banj n.k. katika kipindi maalum cha E! VIP
Kipindi hicho tayari kinaonekana kipo hot! Na kimeanza kutangazwa kama kitaonyeshwa hivi karibuni.
Once again kijana wetu kutoka Tanzania anatuwakilisha kwenye anga za kimataifa. Hii ni habari njema ambayo itasaidia kukuza jina la nchi yetu na wasanii wetu.
Hongera sana kijana wetu Diamond Platinumz, Mungu akutangulie na uzidi kukua!!