Ukweli unauma ata mi najua kiba is very talented
ujue keshaliwa
ujue keshaliwa
Somji Juma nikufatilie kwa kipi ulichonacho
Kaliwa kiboga
Uyo dogo katumwa uyo...
namshangaa anakuja PM kuanza kuporomosha matusi....
alietumwa na alietumwa wote vilaza
Msanii na Producer anaetamba na Bolingo kwa sasa Bob Junior "Sharobaro" leo ameongelea ama kutoa ushauri kuhusu kutokuelewana kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, Amesema kuwa Ally Kiba ni Best Vocal na Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Mdogo Mdogo ambae kwa jina la wimbo yani Diamond kumuheshimu Ally Kiba, Pia ameendelea kwa kumwambia Ndagushima kwa jina la wimbo yani Ommy Dimpoz kwamba ugomvi huo haumuhusu hivyo asitafute kiki kupitia Beef hiyo.
Nanukuu "BIFU SIO KITU KIZURI UNAJUA ALIKIBA NI BEST VOCAL ANAJUA AKIFANYA CHO KUJIINUA SO UKIMYA WAKE USIKUFANYE WW KUMTUKANA KIIVYO NA KUMSEMA VIBAYA ATA WW #NGAGUSHIMA HILI BIFU WW ALIKUHUSU ACHA KUTAFUTA KIK KUPITIA BIFU ZA WATU ALIKIBA UR THE BEST AND MY BEST ARTIST IN BONGO AND AFRIKA SO WW #mdogomDOGO
ALIKBA ITS UR BROTHER MUHESHIMU BHANA"
Hapaaa naonaaa team.mbili
Diamond & Ommy dimpoz vs Bob Junior & Ali Kibaa..
nangoja Kuonaaa Mwisho Wake Utakuajeee!!!...:
Kitu nachokiona watu wana wivu juu ya Diamond na si vinginevyo. Muziki kwa sasa umebadilika watu/vijana wanapenda sana muziki wa burudani/mdundo kuliko ujumbe na Diamond amefanikiwa kwahilo, wasanii lazima wabadilike kuendana na soko kama wanahitaji kufanikiwa ktk soko la sasa, wataishia kusema A.Kiba,Jaydee etc wanaimba kuliko Diam. lakini je soko linataka nini? . Hata marekani huwezi linganisha ujumbe wa muziki walivyokuwa wakiimba kina Brandy,Monica, Maria C, TLC,R Kelly,P didy, na wanavyoimba kina Rihanna,Beyonce,JustineB etc wale wazamani walikuwa wanaimba nyimbo zenye ujumbe lakini wamepotea sababu soko linataka kelele/upuuzi kama wa akina Justine/Rihana etc.
Mtamsifia Kiba lakini asipoangalia soko linataka nini Diamond atazidi kuwaacha mbali.
Ni wapi ushamsikia Diamond akimuongelea Kiba vibaya?
diamond Freemason Nyieee Shaulienu......