Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Hapaaa naonaaa team.mbili

Diamond & Ommy dimpoz vs Bob Junior & Ali Kibaa..
nangoja Kuonaaa Mwisho Wake Utakuajeee!!!...:
 
Screenshot_2014-07-26-10-20-32.png

Msanii na Producer anaetamba na Bolingo kwa sasa Bob Junior "Sharobaro" leo ameongelea ama kutoa ushauri kuhusu kutokuelewana kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, Amesema kuwa Ally Kiba ni Best Vocal na Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Mdogo Mdogo ambae kwa jina la wimbo yani Diamond kumuheshimu Ally Kiba, Pia ameendelea kwa kumwambia Ndagushima kwa jina la wimbo yani Ommy Dimpoz kwamba ugomvi huo haumuhusu hivyo asitafute kiki kupitia Beef hiyo.

bb.jpg

Nanukuu "BIFU SIO KITU KIZURI UNAJUA ALIKIBA NI BEST VOCAL ANAJUA AKIFANYA CHO KUJIINUA SO UKIMYA WAKE USIKUFANYE WW KUMTUKANA KIIVYO NA KUMSEMA VIBAYA ATA WW #NGAGUSHIMA HILI BIFU WW ALIKUHUSU ACHA KUTAFUTA KIK KUPITIA BIFU ZA WATU ALIKIBA UR THE BEST AND MY BEST ARTIST IN BONGO AND AFRIKA SO WW #mdogomDOGO
ALIKBA ITS UR BROTHER MUHESHIMU BHANA"

diamond Freemason Nyieee Shaulienu......
 
Kitu nachokiona watu wana wivu juu ya Diamond na si vinginevyo. Muziki kwa sasa umebadilika watu/vijana wanapenda sana muziki wa burudani/mdundo kuliko ujumbe na Diamond amefanikiwa kwahilo, wasanii lazima wabadilike kuendana na soko kama wanahitaji kufanikiwa ktk soko la sasa, wataishia kusema A.Kiba,Jaydee etc wanaimba kuliko Diam. lakini je soko linataka nini? . Hata marekani huwezi linganisha ujumbe wa muziki walivyokuwa wakiimba kina Brandy,Monica, Maria C, TLC,R Kelly,P didy, na wanavyoimba kina Rihanna,Beyonce,JustineB etc wale wazamani walikuwa wanaimba nyimbo zenye ujumbe lakini wamepotea sababu soko linataka kelele/upuuzi kama wa akina Justine/Rihana etc.
Mtamsifia Kiba lakini asipoangalia soko linataka nini Diamond atazidi kuwaacha mbali.
 
Hapaaa naonaaa team.mbili

Diamond & Ommy dimpoz vs Bob Junior & Ali Kibaa..
nangoja Kuonaaa Mwisho Wake Utakuajeee!!!...:

Mkuu upande utaopoteza upo wazi,angalia nani anaechokonoa na anaetaka kusikika kutumia jina la mwenzie vs anae work hard kila kukicha ili aendelee kupiga step ...Hapo utaona mwenyewe mwisho wake utavyokuwa.
 
Kitu nachokiona watu wana wivu juu ya Diamond na si vinginevyo. Muziki kwa sasa umebadilika watu/vijana wanapenda sana muziki wa burudani/mdundo kuliko ujumbe na Diamond amefanikiwa kwahilo, wasanii lazima wabadilike kuendana na soko kama wanahitaji kufanikiwa ktk soko la sasa, wataishia kusema A.Kiba,Jaydee etc wanaimba kuliko Diam. lakini je soko linataka nini? . Hata marekani huwezi linganisha ujumbe wa muziki walivyokuwa wakiimba kina Brandy,Monica, Maria C, TLC,R Kelly,P didy, na wanavyoimba kina Rihanna,Beyonce,JustineB etc wale wazamani walikuwa wanaimba nyimbo zenye ujumbe lakini wamepotea sababu soko linataka kelele/upuuzi kama wa akina Justine/Rihana etc.
Mtamsifia Kiba lakini asipoangalia soko linataka nini Diamond atazidi kuwaacha mbali.

Kabisa,hapa naona kuna wivu mkali sana unaendelea...Kiba anajipa kazi ngumu sana kurudi kwa staili ya kumponda Diamond,maana inabidi apambane nae haswa sio hii ya kumchoresha kama ni mtu mbaya flani then akafikiri atamu-win, akimshindwa atakuwa kapoteza matarajio ya fans wake then ndio atapotea kabisa..
 
The point of view is who is talented ? Mi najua Kiba anakipaji ila amekosa management mzuri Diamond nampata vizuri sana amehustle hadi anafika hapo alipo je unajua kua alikua anarap kabla hajachange style na pia alikua anaomba kufanya matamasha kwenye mashule akiwa na linex ? Pamoja na hayo Kiba anaweza na anajua kwa watu wanaojua muziki siyo wanaofata Media power. Asante .

Ni wapi ushamsikia Diamond akimuongelea Kiba vibaya?
 
diamond Freemason Nyieee Shaulienu......

Hizo story za freemason peleka kwenye vijiwe vya kahawa make ni za watu waliokosa shughuli za kufanya.

Watu wana haso na maisha mpaka wanatoka nyie mmekalia flan na flan ni freemason.

We kuna aliyekuzuia usiende huko nawe ukapate mgao wako?
 
Kitu nachokiona watu wana wivu juu ya Diamond na si vinginevyo. Muziki kwa sasa umebadilika watu/vijana wanapenda sana muziki wa burudani/mdundo kuliko ujumbe na Diamond amefanikiwa kwahilo, wasanii lazima wabadilike kuendana na soko kama wanahitaji kufanikiwa ktk soko la sasa, wataishia kusema A.Kiba,Jaydee etc wanaimba kuliko Diam. lakini je soko linataka nini? . Hata marekani huwezi linganisha ujumbe wa muziki walivyokuwa wakiimba kina Brandy,Monica, Maria C, TLC,R Kelly,P didy, na wanavyoimba kina Rihanna,Beyonce,JustineB etc wale wazamani walikuwa wanaimba nyimbo zenye ujumbe lakini wamepotea sababu soko linataka kelele/upuuzi kama wa akina Justine/Rihana etc.
Mtamsifia Kiba lakini asipoangalia soko linataka nini Diamond atazidi kuwaacha mbali.

Baaaaaaaaaas!!!! Umemaliza... mtu akiamua kukukataa hata umuimbie ujumbe hatakosa kasoro za kukukosoa kuwa ulikosea hapa na pale...
Kifupi si kila msanii aimbe ujumbe, kama ni ujumbe si mpaka upewe na msanii. Waweza kusoma hata vitabu au majarida.

Tuacheni sisi watu wa burudani tuchetuke na ndomo wetu... tutaendelea kuwakimbiza sana na matuzo kwa mawazo yenu hayo yaliyozeeka...
 
Ngojea niendelee na castle yangu japo wamepandisha bei niungalie huu mtifuano wa timu Diamond na timu ya Kiba.Waiter ongeza nyingine.
 
Back
Top Bottom