Tatizo wakishajua wanakipaji wanarelax bila kujua vipaji navyo vinamsimu wa mavuno....hawajifunzi kwa wenzao wa nigeria ambao wako very aggressive na hawafanyi mchezo kwenye kutafuta pesa na kufanya maisha... Diamond atawafundisha labdaUkweli mchungu sana huo.Hata pozi kwenye video zake ni mbovu kweli.
He is talented kuliko Diamond lakini Diamond kamzidi akili ya biashara ya muziki.
kule mm ndio home na tumesoma shule moja primary mchikichini japo alinizidi madarasa kama matatu hivi...nadhani sio ushamba ila ujuaji mwingi sijui kwann aliamua kujitoa G.Record maana nayo ni sababu ya hivi
daah...nimecheka sanasio watanzania tu karibu kila mtu duniani kunakuwa kuna mtu humkubali hata iweje.Kama vile ambavyo sijawahi kuipenda Yanga,yaani Yanga hata ikicheza na timu ya Rwanda basi nitaishangilia timu hiyo ya kutoka Rwanda.
Nalog off
Robert kiyosaki huwa anasema baada ya kuuza nakala nyingi sana za kitabu chake "Rich dady ,poor dady" Watu wakamuuliza wewe inakuwaje unauza kuliko waandishi walobobea katika mambo ya personal finances, Maprofessa wa Harvard na Wataalam kutoka Wallstreet?? kwa nini???
akasema " Its because am a best selling author and not a Great author while those are Great Authors and not Best selling Authors".
This is true kwa Marlaw, Alikiba, na it was very true kwa King of Freestyle Albert Mangweha RIP. Ni watu wanaojua sana, ni kama hao maprofesa wa harvard, wanaoshindwa kuuza vitabu vyao kwa levo ya Kiyosaki kanjanja mmoja anaeandika juu ya nertwork marketing. Namfaham Marlaw since Iringa 2004 enzi hizo kwa 2d Thomas na Temmy G. tulikuwaga tunasema " Dah huyu jamaa akitoka, atakuwa juu sana" akatoka juu then akawa kawaida
Mtandao wenye bidhaa nzur kuliko zote unaweza kuwa zantel, lakin wenye wateja wengi na faida kubwa ukawa voda au tigo. "In business effective marketing of product is very important sometimes more than a product it self"
bongo lazma uwe mmbunifu la si hivyo utaishia kusukuma jahazi wenzio wasafiri :smile-big:
Mkuu simkubali Diamond wala Lady JD na Yanga pia siikubali hata wakinipa hela.daah...nimecheka sana
Ally amesoma Upanga Primary na alimaliza 2000.
Kaka wewe ni mkali
Wazungu wanampambanisha diamond na davido.wabongo wanampambanisha diamond na Ali kiba.maajabu haya
Wadau naomba maoni yenu kumekuwa na ubishani mkubwa siku za hivi karibuni juu ya nani mkali wa bongo flava kati ya wasanii wetu hawa wawili huku zikiwa zimebaki siku chache Ally kiba atoe single yake mpya inayoitwa Dar es Salaam