Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Ukweli mchungu sana huo.Hata pozi kwenye video zake ni mbovu kweli.
He is talented kuliko Diamond lakini Diamond kamzidi akili ya biashara ya muziki.
Tatizo wakishajua wanakipaji wanarelax bila kujua vipaji navyo vinamsimu wa mavuno....hawajifunzi kwa wenzao wa nigeria ambao wako very aggressive na hawafanyi mchezo kwenye kutafuta pesa na kufanya maisha... Diamond atawafundisha labda
 
Kuna nafasi ya skendo za ngono za Diamond, ambazo huwezi kumwingiza Kiba kwa kuwa amelelewa kiislamu.
Na nafasi ya redio ya watu na kampuni tanzu zake...
 
kule mm ndio home na tumesoma shule moja primary mchikichini japo alinizidi madarasa kama matatu hivi...nadhani sio ushamba ila ujuaji mwingi sijui kwann aliamua kujitoa G.Record maana nayo ni sababu ya hivi

Ally amesoma Upanga Primary na alimaliza 2000.
 
sio watanzania tu karibu kila mtu duniani kunakuwa kuna mtu humkubali hata iweje.Kama vile ambavyo sijawahi kuipenda Yanga,yaani Yanga hata ikicheza na timu ya Rwanda basi nitaishangilia timu hiyo ya kutoka Rwanda.
Nalog off
daah...nimecheka sana
 
Robert kiyosaki huwa anasema baada ya kuuza nakala nyingi sana za kitabu chake "Rich dady ,poor dady" Watu wakamuuliza wewe inakuwaje unauza kuliko waandishi walobobea katika mambo ya personal finances, Maprofessa wa Harvard na Wataalam kutoka Wallstreet?? kwa nini???

akasema " Its because am a best selling author and not a Great author while those are Great Authors and not Best selling Authors".

This is true kwa Marlaw, Alikiba, na it was very true kwa King of Freestyle Albert Mangweha RIP. Ni watu wanaojua sana, ni kama hao maprofesa wa harvard, wanaoshindwa kuuza vitabu vyao kwa levo ya Kiyosaki kanjanja mmoja anaeandika juu ya nertwork marketing. Namfaham Marlaw since Iringa 2004 enzi hizo kwa 2d Thomas na Temmy G. tulikuwaga tunasema " Dah huyu jamaa akitoka, atakuwa juu sana" akatoka juu then akawa kawaida

Mtandao wenye bidhaa nzur kuliko zote unaweza kuwa zantel, lakin wenye wateja wengi na faida kubwa ukawa voda au tigo. "In business effective marketing of product is very important sometimes more than a product it self"

I salute you for you great comment on the importance of having marketing skills.
 
Wadau naomba maoni yenu kumekuwa na ubishani mkubwa siku za hivi karibuni juu ya nani mkali wa bongo flava kati ya wasanii wetu hawa wawili huku zikiwa zimebaki siku chache Ally kiba atoe single yake mpya inayoitwa Dar es Salaam
 

Attachments

  • 1405974769212.jpg
    1405974769212.jpg
    25.1 KB · Views: 849
Ali Kiba ni moto mkali,..sema ni kama jamaa hajielewi....japo na Diamond ni mkali na ajielewa na anajituma sana.
 
Hivi Ali kiba anatoa wimbo wake lini?? Naona Anataka kurudi kupitia mgongo wa Domo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wadau naomba maoni yenu kumekuwa na ubishani mkubwa siku za hivi karibuni juu ya nani mkali wa bongo flava kati ya wasanii wetu hawa wawili huku zikiwa zimebaki siku chache Ally kiba atoe single yake mpya inayoitwa Dar es Salaam

Ngoja atoe hyo single ndo tutaamua!0
 
Back
Top Bottom